Papa ameumwa dunia imetangaza, kwanini viongozi wa Afrika wakiumwa inakuwa siri?

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki.

Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5.

Kisa kuepusha taharuki.

Akifa hutangazwa, nini maana yake?
 
papa ni mwanasiasa?
Partly ni mwanasiasa sababu ukiacha yeye kuwa kiongozi wa kanisa la Roman pia ndio mkuu wa nchi ndani ya nchi inayoitwa Vatican ambayo Ina ubalozi pia kwenye mataifa mbalimbali.

Kumbuka kwamba Vatican ipo ndani ya Italy, it's a country within a country.

But only Vatican na Italy hawaisumbui na wanaiheshimu.
 
You should also be interested visiting Sicily. Utakutana na former old chappels pale
 
Tena wakifa kwa corona au aids ndio kabisaaa usitegemee serikali ikuambie πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe endelea kujilinda tu kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…