Vatikani imeidhinisha ombi la maaskofu wa Ufilipino la kuwaruhusu kuwatawaza Wakatoliki waliohitimu, wakiwemo wanaume waliooa kuwa mashemasi wa kudumu ili kusaidia kuangalia uwiano wa mapadre na katoliki unaoongezeka nchini humo. Papa Francis alikubali ombi la Baraza la Maaskofu Katoliki Ufilipino la kuanzisha "diakoni wa kudumu" ndani ya Kanisa la mahali, kulingana na barua ya Vatican mkutano uliopokea Septemba 12.
SHEMASI NI NANI KATIKA UKATOLIKI?
1. Shemasi ni msadizi wa kuhani (Padre, Askofu) katika shughuli za Ibada na majukumu mengine ya kutangaza injili
2. Shemashi ni daraja ( nafasi, cheo) kwa anaendaliwa kupewa daraja ya Upadre. Wako mashemasi ambao watabaki kuwa mashemasi daima na wako mashemasi ambao hao ni pitio tu la kusogea mbele. Hawa wa damage ndio wataruhusiwa kuoa huko Ufilipino.
Kwa Africa itafaa?