Papa asema mamia wameuwawa Tanzania kwa vurugu za Uchaguzi

Papa asema mamia wameuwawa Tanzania kwa vurugu za Uchaguzi

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Screenshot_20251102_152819_Chrome.jpg



Kwenye Ibada ya leo. Baba Mtakatifu Papa Leo ameziombea Tanzania na Sudan na kueleza mamia ya watu wameuwawa nchini Tanzania kutokana na vurugu za Uchaguzi

Samia elewa tu we jiapishe ila inyeshe mvua liwake jua sio tu sisi Watanganyika bali dunia nzima haitakuacha salama kwa kutuua Watanganyika ili ututawale kwa nguvu
 
Watakemea kwa kutumia nini mkuu kama media tu hazijaripot hao wengine wanategemea online na internet hakuna. Subri wawashe
Nimemuona Askofu Bagonza pekee amesema neno. Ngoja tusubiri tuone kama kuna mashehe, wachungaji watakemea haya mauaji ya Watanzania.
 
Back
Top Bottom