Papa Francis aikosoa Urusi asema imefanya shambulizi la kinyama Mariupol

Papa Francis aikosoa Urusi asema imefanya shambulizi la kinyama Mariupol

Kanisa limekuwa lawaimba kwaya saivi nilitegemea kanisa liwe mstari WA mbele kukemea na kutoa misaada ya kiutu mashambulizi na mauwaji yalivyokuwa yanatokea Iraq, Afghanistan, Libya ata Syria Ila sababu Ile ni jamii ya kiislamu na kanisa halioni nafasi ya kupata waumini wapya basi walikaa kimya na kukemea kimya kimya Ila Ukrein sababu wengi ni waothodox na kanisa katoliki linataka kuongeza wafuasi basi linakemea Kwa mbwembwe zote Hadi mfungo WA mwaka huu waliwekwa kwenye maombi ya kwaresma useless kabisaa
Kwanini Waislamu hawakujitokeza kukemea?
 
Muslims mna viongozi wenu wa wakuu wa dini wanapoona mnaonewa na kukandamiza kwa nini wasitoe kauli? Mnasubiri kiongozi mkuu wa kanisa katoliki ndiye awasemehe?

Je huko kote unaposema hakukemea una ushahidi wowote wa kuthibitisha kwamba hakufanya hivyo?

Kama kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani ana haki na ni wajibu kwake kulinda waumini wake, hivyo yuko sahihi kukemea pale anapoona wafuasi wa dini yake wanashambuliwa na mabomu.
Point kubwa sana hii. Viongozi wao pia wakemee pale wafuasi wa dini zao wanapovamiwa au kuhisi kuonewa
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameikosoa Urusi kwa kueleza kuwa vita dhidi ya Ukraine ni ishara ya kudidimia kwa hali ya ubinadamu na kwamba imesababisha mateso na majonzi.

Papa Francis (85) hakuitaja moja kwa moja Urusi lakini aliposema kuwa mashambulizi ya Mji wa Mariupol yamekuwa ya kinyama na kusababisha watu kuhamishwa kutoka katika mji huo ni wazi anakosoa mashambulizi yanayoendelea.

“Ninasikiika na kulia kwa watu wan Ukraine hasa wale ambao ni dhaifu, wazee, watoto… ni habari ya kusikitisha kuona watu wakihamishwa katika mji wao,” anasema Papa.

Kulingana na vyombo vya habari vya Urusi, jumla ya raia 46 wamehamishwa kutoka eneo lililo karibu na kiwanda cha chuma kilichozingirwa cha Azovstal katika mji wa bandari wa Mariupol.

Source: English Alarabiya
Kuna mauji kila siku yanafanyika nchini congo lakini wameshidwa kuyakemea
 
sikutegemea comment kama hii toka kwako.Kama ni mkatoriki utakuwa unajua padri hatakiwi kutoa siri za maungamo hata ukiungama umefanya jambo baya kiasi gani
Sasa uache kutudanganya eti 'baba yako alikwambia' yeye alifail kuwa Padre period.Si kila mtu ana hiyo karama,ni wachache sana na Baba yako hakuwa mmoja wao,hata angefikia daraja la ushemasi bado angepigwa chini.Yani mtu yuko huku kwenye Seminary ndogo ambako unafundishwa tu elimu ya kawaida ya Sekondary ndiyo awe na access ya kujua mambo makubwa kiasi hicho ndani ya Kanisa,walau angefikia kuwa Fratery ningekuelewa kidogo lakini huku kwenye Seminary ndogo ni uongo mkubwa
 
uwa padri nyingine ni unafiki wa mapadri kwani maungamo ni siri ila mapadri walikuwa wanatoa siri za maungamo kwa wanafunzi na kisha kuwafukuza.
Hii ni njia tu ya kuwasoma watu, na wala hakuna kutubu wala nini. Halafu utamsikia padri kwenye mahubiri anasema dhambi fulani imezidi hapa kwenye eneo letu, kumbe kapata data kwenye ki-box cha maungamo. Halafu waamini wajinga wanafikiri kafunuliwa na Roho wa Bwana!!
 
Kanisa limekuwa lawaimba kwaya saivi nilitegemea kanisa liwe mstari WA mbele kukemea na kutoa misaada ya kiutu mashambulizi na mauwaji yalivyokuwa yanatokea Iraq, Afghanistan, Libya ata Syria Ila sababu Ile ni jamii ya kiislamu na kanisa halioni nafasi ya kupata waumini wapya basi walikaa kimya na kukemea kimya kimya Ila Ukrein sababu wengi ni waothodox na kanisa katoliki linataka kuongeza wafuasi basi linakemea Kwa mbwembwe zote Hadi mfungo WA mwaka huu waliwekwa kwenye maombi ya kwaresma useless kabisaa
Umoja wa Asia ulikuwa kimya hlf unataka waende kule mwishowe ndo mseme wanatengeneza matatizo ili wakaibe na kueneza ukristu , dini ya mudi inattzo kubwa sn kwny ufahamu wao
 
Marehemu baba yangu alisoma seminari tena kipindi hicho walikuwa wanapendekezwa na askofu wa jimbo ambaye alikuwa ni Mmarekani.

Matokeo ya form 4 alifaulu vizuri ila alikataa kuendelea kusoma seminari ili awe padri kitendo kilichomkasirisha hadi askofu maana alimwandaa awe padri.

Aliniambia alikataa kwa sababu mbili, moja mama yake alikataa yeye kuwa padri nyingine ni unafiki wa mapadri kwani maungamo ni siri ila mapadri walikuwa wanatoa siri za maungamo kwa wanafunzi na kisha kuwafukuza. Huyu papa ni mnafiki si ajabu ni pandikizi la usa.
yaan huyo baba ako ni hamnazo , kama kashindwa upadre , utumishi wa kwa wenzetu hatoueza , kwanz lzm uikubali jihad ( kwao jihad ni kuua wasio waislamu )
 
Anang'ata tuu na kupuliza huyo na usikite ameplan yeye hiyo vita kupitia JESUITS naamin vatikan anaweza kumwondoa rais yeyote akipenda muda wowote kama akienda tofauti na matakwa yake....na kwa hili atakuwepo nyuma ya pazia (VATICAN RULES THE WORLD via USA)
duh , dunia ina wajinga wengi sana , wengi bado wapo enzi za abunuasi
 
Kuna mauji kila siku yanafanyika nchini congo lakini wameshidwa kuyakemea
nyinyi waafrika ndo wapumbav badala muulaumu muungano wenu kwa kukaa kimya unaenda kuwalaumu walio nje ya bara letu
 
sikutegemea comment kama hii toka kwako.Kama ni mkatoriki utakuwa unajua padri hatakiwi kutoa siri za maungamo hata ukiungama umefanya jambo baya kiasi gani
kwan yy ni malaika ? yy ni binadamu na ana madhaifu km binadamu wengine na ndio maana unaambiwa usifuate matendo yake bali fuata ayanenayo
 
yaan huyo baba ako ni hamnazo , kama kashindwa upadre , utumishi wa kwa wenzetu hatoueza , kwanz lzm uikubali jihad ( kwao jihad ni kuua wasio waislamu )
kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofaui.Alikataa kwenda kusomea upadri sio alikuwa pa
yaan huyo baba ako ni hamnazo , kama kashindwa upadre , utumishi wa kwa wenzetu hatoueza , kwanz lzm uikubali jihad ( kwao jihad ni kuua wasio waislamu )
kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti ndio maana waliweka mitihani.
Hakuwa padri bali alikataa kuusomea
 
Back
Top Bottom