Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo Mwenyezi Mungu atawezaje kumponya Papa Francis, Wakati ameshindwa kumkinga asipate huu ugonjwa wa pneumonia?Akistaafu namuomba Mwenyezi-Mungu atuletee Jesuit mwingine kuliongoza kanisa lake.
Mwenyezi-Mungu amponye Papa Francis,naye ataponyeka. Amuokoe maana yeye ndiye aliye sifa zake.
Sijaongelea Mambo ya dhambi, nimejaribu kuangalia tatizo alilonalo na Nini kinaweza kusababishia ( risk factor )....yawezekana visababishi ni vingi, ila Mimi nimehoji vipi FEGI??Haina tatizo. Nayo fegi ni dhambi?
Ili imani zetu zidhihirike kwa wengine sio kwakeMungu mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele, Anakupima nini asichokijua?
Kwani huyo Mungu hawezi kujua waumini wa kweli na wanafiki, Hadi awapime?
Au huyo Mungu hajui mambo yote?
Hajashindwa kumkinga ila yeye ndiye kampa huo ugonjwa kwa sababu maalumHuyo Mwenyezi Mungu atawezaje kumponya Papa Francis, Wakati ameshindwa kumkinga asipate huu ugonjwa wa pneumonia?
Kama huyo Mungu mwenyewe, kashindwa kumkinga, Ndio unategemea ataweza kumponya?
Sasa kudhihirisha imani kwa wengine, ndio atumie magonjwa?Ili imani zetu zidhihirike kwa wengine sio kwake
Ni kama alivyompa mitihani Ayyubu ili imani yake idhihirike kwa shetani
Umejuaje na unathibitishaje ni sababu maalumu?Hajashindwa kumkinga ila yeye ndiye kampa huo ugonjwa kwa sababu maalum
"Usikute anapuliza FEGI huyo sio bure"... ila Mimi nimehoji vipi FEGI??
Sasa imani ipimwe kwa raha?Sasa kudhihirisha imani kwa wengine, ndio atumie magonjwa?
Mkuu huyu Papa si alikuwa na pafu moja hili la pili limetokea wapi tena au lilipandikizwa?inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili.
Itapendeza zaidi"Usikute anapuliza FEGI huyo sio bure"
Okay, ngoja nichukulie kuwa hapo ulikuwa unahoji
Huyo Mungu anapima imani yako ili agundue nini asichokijua?Sasa imani ipimwe kwa raha?
Nimekwambia ili awadhihirishie wengine imani yakoHuyo Mungu anapima imani yako ili agundue nini asichokijua?
Kwa yeye si ni Mungu mwenye kujua mambo yote?
Sasa anapima imani yako, ili iweje?
Basi muombe huyo Mungu akufanye wewe uumwe, akupe magonjwa na akutese vya kutosha ili wengine wapate kudhihirishiwa imani.Nimekwambia ili awadhihirishie wengine imani yako
Hapangiwi kuhusu kuleta mitihani,yeye huleta atakavyo,wakati autakao,mahali apatakapo na kwa watu awatakaoBasi muombe huyo Mungu akufanye wewe uumwe, akupe magonjwa na akutese vya kutosha ili wengine wapate kudhihirishiwa imani.
Are you ready for that?
Huyo Mungu analeta mitihani ili agundue nini asichokijua?Hapangiwi kuhusu kuleta mitihani,yeye huleta atakavyo,wakati autakao,mahali apatakapo na kwa watu awatakao
Ili idhihirike imani yako kwa matendo mbele ya wengineHuyo Mungu analeta mitihani ili agundue nini asichokijua?
Huyo Mungu, Alishindwaje kudhihirisha imani yake kwa kila mtu pasipo kutesa wengine?Ili idhihirike imani yako kwa matendo mbele ya wengine
We jamaa ni mwanateolojia noma sana. Tukipata watu kama wewe wakani Mungu wote watatubuIli imani zetu zidhihirike kwa wengine sio kwake
Ni kama alivyompa mitihani Ayyubu ili imani yake idhihirike kwa shetani
Hiyo ndio njia aliyoamua kutumia na hapangiwi na yeyote.Hufanya anachotakaHuyo Mungu, Alishindwaje kudhihirisha imani yake kwa kila mtu pasipo kutesa wengine?
Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?