Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Huyo Mwenyezi Mungu atawezaje kumponya Papa Francis, Wakati ameshindwa kumkinga asipate huu ugonjwa wa pneumonia?Akistaafu namuomba Mwenyezi-Mungu atuletee Jesuit mwingine kuliongoza kanisa lake.
Mwenyezi-Mungu amponye Papa Francis,naye ataponyeka. Amuokoe maana yeye ndiye aliye sifa zake.
Kama huyo Mungu mwenyewe, kashindwa kumkinga, Ndio unategemea ataweza kumponya?