Papa Francis akutwa na Nimonia

Papa Francis akutwa na Nimonia

Akistaafu namuomba Mwenyezi-Mungu atuletee Jesuit mwingine kuliongoza kanisa lake.

Mwenyezi-Mungu amponye Papa Francis,naye ataponyeka. Amuokoe maana yeye ndiye aliye sifa zake.
Huyo Mwenyezi Mungu atawezaje kumponya Papa Francis, Wakati ameshindwa kumkinga asipate huu ugonjwa wa pneumonia?

Kama huyo Mungu mwenyewe, kashindwa kumkinga, Ndio unategemea ataweza kumponya?
 
Mungu mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele, Anakupima nini asichokijua?

Kwani huyo Mungu hawezi kujua waumini wa kweli na wanafiki, Hadi awapime?

Au huyo Mungu hajui mambo yote?
Ili imani zetu zidhihirike kwa wengine sio kwake
Ni kama alivyompa mitihani Ayyubu ili imani yake idhihirike kwa shetani
 
Hapangiwi kuhusu kuleta mitihani,yeye huleta atakavyo,wakati autakao,mahali apatakapo na kwa watu awatakao
Huyo Mungu analeta mitihani ili agundue nini asichokijua?

Kwani yeye si ni Mungu mwenye kujua mambo yote?

Sasa mitihani ya nini?

Wakati yeye tayari anajua matokeo?

Au anataka tu atese watu?

Ndio afurahie?
 
Huyo Mungu, Alishindwaje kudhihirisha imani yake kwa kila mtu pasipo kutesa wengine?

Hivi huyo Mungu anajielewa kweli?
Hiyo ndio njia aliyoamua kutumia na hapangiwi na yeyote.Hufanya anachotaka
Ni kama alivyoamua wewe utokane na tone la manii na si tone la mate au utokee ulipotokea na si mdomoni mwa Mama yako
 
Back
Top Bottom