Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biolojia ulisoma?Hata hujui hayo unayosema magonjwa yanakukaje kwa binadamu!
Huo ndio ujinga unaowafanya mseme hakuna Mungu?Biolojia ulisoma?
Hukufundishwa causes of diseases?
Au uliogopa umande?
Pole sana Papa...unatakiwa ustaafu sasaNdugu zangu Watanzania,
Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Vatican Madaktari wake wamebaini ugonjwa huo baada ya vipimo vya kitabibu na kwa sasa anapatiwa matibabu maalum huku hali yake ikiwa chini ya uangalizi wa karibu.
Papa Francis mwenye umri wa miaka 87 amekuwa na changamoto za kiafya kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na matatizo ya kupumua na maumivu ya mifupa hata hivyo Vatican imesisitiza kuwa anaendelea kupokea huduma bora za kitabibu na anaendelea vizuri matibabu.
Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki duniani kote wameendelea kumuombea afya njema huku Viongozi wa dini na Viongozi wa mataifa wakionesha mshikamano na kumtakia ahueni ya haraka.
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3241793
Haiwezekani awepo Mungu mwenye upendo na huruma kwa viumbe wake, Kwenye dunia iliyojaa magonjwa yanayotesa viumbe wake.Kwa nini
Kwa hiyo Shetani wako ndio yupoHuyo Mungu atawezaje kumpatia uponyaji, Wakati ameshindwa kumkinga asipate hiyo Nimonia?
Hakuna Mungu wa kutoa uponyaji.
Huyo Mungu hayupo.
Jibu swali.Huo ndio ujinga unaowafanya mseme hakuna Mungu?
Hakuna Mungu wala Shetani.Kwa hiyo Shetani wako ndio yupo
Magonjwa,njaa,vifo,umasikini,hofu na shida zote ni mitihani ili kupima imani ya mwanadamuHaiwezekani awepo Mungu mwenye upendo na huruma kwa viumbe wake, Kwenye dunia iliyojaa magonjwa yanayotesa viumbe wake.
This is logical inconsistency.
Asa wajukuu awatolee wapi? Au unamaanisha wajukuu wanaokwenda kusali misa?UMRI WAKE HUO NDYO MANA ANATOA MAAMUZI YA HOVYO HOVYO.YEYE NA WASIRA NI MDA WAO KUCHEZA VITUKUU.
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Anakupima imani yako ili agundue nini asichokijua?Magonjwa,njaa,vifo,umasikini,hofu na shida zote ni mitihani ili kupima imani ya mwanadamu
Shetani anakutumikisha sana.Huyo Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na magonjwa.
Huyo Mungu angekuwepo wala usingehitaji kumuomba akuponye.
Mungu angekuwepo, angekuepusha na magonjwa pasipo hata wewe kumuomba.
Acha ujinga wako hapa. Hili siyo jukwaa la machiziAtafute muarobaini ajifukize..au mkaritusi...aache deko .Mwaka wa uchaguzi huu..
No reform no election☺️
Shetani hayupo.Shetani anakutumikisha sana.
Haina tatizo. Nayo fegi ni dhambi?Usikute anapuliza FEGI huyo sio bure
Akistaafu namuomba Mwenyezi-Mungu atuletee Jesuit mwingine kuliongoza kanisa lake.Angestaafu tu , aangalie afya yake ,,, ! Get well soon Papa
Anatupima ili imani zetu zionekane kwa MatendoMungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Anakupima imani yako ili agundue nini asichokijua?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Mungu mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele, Anakupima nini asichokijua?Anatupima ili imani zetu zionekane kwa Matendo
Ili kubainisha waumini wa kweli na wanafiki