Papa Francis akutwa na Nimonia

Papa Francis akutwa na Nimonia

Hiyo ndio njia aliyoamua kutumia na hapangiwi na yeyote.Hufanya anachotaka
Ni kama alivyoamua wewe utokane na tone la manii na si tone la mate au utokee ulipotokea na si mdomoni mwa Mama yako
Basi huyo Mungu ni mjinga sana.

Na hastahili kuwa Mungu maana hajielewi kabisa.

Huyo Mungu hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Vatican Madaktari wake wamebaini ugonjwa huo baada ya vipimo vya kitabibu na kwa sasa anapatiwa matibabu maalum huku hali yake ikiwa chini ya uangalizi wa karibu.

Papa Francis mwenye umri wa miaka 87 amekuwa na changamoto za kiafya kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na matatizo ya kupumua na maumivu ya mifupa hata hivyo Vatican imesisitiza kuwa anaendelea kupokea huduma bora za kitabibu na anaendelea vizuri matibabu.

Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki duniani kote wameendelea kumuombea afya njema huku Viongozi wa dini na Viongozi wa mataifa wakionesha mshikamano na kumtakia ahueni ya haraka.
#MillardAyoUPDATES

View attachment 3241793
Mtangulizi
Alianza hivihivii kwann wanaumwa inimonia tu
 
Alikuwa na uwezo wa kuumba dunia isiyo na uovu lakini akashindwa kufanya hivyo.

Badala yake ameruhusu dunia yenye uovu na maovu.

Dunia ina uovu, halafu yeye hapendi maovu.

Huu ndio ujinga wake.

Kwanza si ujinga tu, bali ni upumbavu kabisa
Hakuna alichoshindwa ila kafanya hivyo kwa hekima zake maalum
 
Back
Top Bottom