Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kwani wewe unaamimini Mungu yupo ila mpumbavu au unaamini Mungu hayupo?Wa huyo Mungu.
Unajifanya huujui.
Unataka endless discussions kumtetea huyo Mungu wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe unaamimini Mungu yupo ila mpumbavu au unaamini Mungu hayupo?Wa huyo Mungu.
Unajifanya huujui.
Unataka endless discussions kumtetea huyo Mungu wako
Una usungo wewe UWTAcha ujinga wako hapa. Hili siyo jukwaa la machizi
Siamini kwenye kuaminiKwani wewe unaamimini Mungu yupo ila mpumbavu au unaamini Mungu hayupo?
Ulianza lini kupinga uwepo wa MunguSiamini kwenye kuamini
Sina imani ya aina yeyote ile.
Siamini Mungu yupo au hayupo.
Napinga uwepo wa Mungu.
Siamini, bali napinga imani zenu na madai yenu ya uwepo wa Mungu.
When I emancipated myself from mental slavery.Ulianza lini kupinga uwepo wa Mungu
Kwa hiyo kwa sasa wewe ni kafiriWhen I emancipated myself from mental slavery.
Kafiri ni neno lenu la kiislamu.Kwa hiyo kwa sasa wewe ni kafiri
Akuruhusu update ugonjwa halafu asubirie mpaka umuombe ndo aundoe.Huenda atakuwa akikuponya anapata ribaKwa nini
Ni kweli mimi ni kafiri kwenye ukristo.Wewe ni kafiri kwa Mungu.Kafiri ni neno lenu la kiislamu.
Hata na nyie ni makafiri kwenye dini zingine.
Wewe ni kafiri kwenye ukristo.
Mimi si kafiri.
Mimi ni infropreneur.
Yeye ndo anakupa ugonjwa na ndiye anayeponya whether umemuomba au la.Akuruhusu update ugonjwa halafu asubirie mpaka umuombe ndo aundoe.Huenda atakuwa akikuponya anapata riba
Sawa basi.Yeye ndo anakupa ugonjwa na ndiye anayeponya whether umemuomba au la.
Halafu yeye hana haja ya kitu chochote kutoka kwa yeyote au mahali popote.
Huyo Mungu aliumbaje binadamu makafiri?Ni kweli mimi ni kafiri kwenye ukristo.Wewe ni kafiri kwa Mungu.
Neno "kafiri" si la kiislam bali ni la kiarabu likiwa na maana ya "mpingaji" ndio maana nikakuita wewe kafiri
Mbona unanirudisha tulikotoka! si nimekuambia hakushindwa ila ni maamuzi yake na hekima yakeHuyo Mungu aliumbaje binadamu makafiri?
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na ukafiri?
Na mimi nakwambia si hekima bali ni upumbavu.Mbona unanirudisha tulikotoka! si nimekuambia hakushindwa ila ni maamuzi yake na hekima yake
Upumbavu upiNa mimi nakwambia si hekima bali ni upumbavu.
Usianze tena kutetea upumbavu wa huyo Mungu.
Huyo Mungu atawezaje kumpa afueni, Wakati ameshindwa kumkinga asipate hiyo Nimonia?Mungu ampe afueni maana nimonia na ule umri ni mbaya sana
You are just meandering.Upumbavu upi
The same to youYou are just meandering.