Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Find someone of your league to parallel your mediocrity.The same to you
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.The same to you
The same to youFind someone of your league to parallel your mediocrity.
Mkuu me and you we have different beliefs kwa hiyo sitaweza kujibu swali lako 🙏Huyo Mungu atawezaje kumpa afueni, Wakati ameshindwa kumkinga asipate hiyo Nimonia?
Wewe umeshatangazwa?Wamtnagaze tu waache kutuona wajinga
Rip
Miaka mingi tena???ili iweje???Mungu ampatie uponaji wa haraka na kuendelea kumpatia Miaka Mingi ya kuendelea kuishi hapa Duniani.
Vitukuu tena???anawapataje wakat yy haoi?UMRI WAKE HUO NDYO MANA ANATOA MAAMUZI YA HOVYO HOVYO.YEYE NA WASIRA NI MDA WAO KUCHEZA VITUKUU.
Sasa hivi anaendeleaje?Ndugu zangu Watanzania,
Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Vatican Madaktari wake wamebaini ugonjwa huo baada ya vipimo vya kitabibu na kwa sasa anapatiwa matibabu maalum huku hali yake ikiwa chini ya uangalizi wa karibu.
Papa Francis mwenye umri wa miaka 87 amekuwa na changamoto za kiafya kwa muda mrefu ikiwa ni pamoja na matatizo ya kupumua na maumivu ya mifupa hata hivyo Vatican imesisitiza kuwa anaendelea kupokea huduma bora za kitabibu na anaendelea vizuri matibabu.
Maelfu ya Waumini wa Kanisa Katoliki duniani kote wameendelea kumuombea afya njema huku Viongozi wa dini na Viongozi wa mataifa wakionesha mshikamano na kumtakia ahueni ya haraka.
#MillardAyoUPDATES
View attachment 3241793
Nani alikataa? Huo moshi unamtokea anayechaguliwa au unatutokea watu tuliopo nje kusubiri aliyechaguliwa? Vitu vingine kama mtu hujui heri kupiga kimyaMimi ni Catholic ila nawazaga sana kwanini walikataa yule mcameroon kuwa papa hali ya kuwa walisema moshi umetokea kwake,