TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

RIP , I think the Wait is over is time for black to rule this institution.
 
Hadi wakati wake wa mwisho alikuwa anasisitiza vita ya Gaza isitishwe, mtu mwema sana.

Pumzika kwa amani Pope Francis.
 
Mungi wa Huruma uipokee Roho ya mtumishi wako aliyeyatoa maisha yake yote kukutumikia. Umsamehe pale alipopungukiwa kwa kadiri ya hekima yako. Tunaomba umjalie pumziko jema la milele, umfanye kuwa miongoni mwa watakatifu wako, siyo kwa sababu ya ukamilifu wake bali kwa sababu alikutehlgemea wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…