TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Hii ni kutoka BBC sasa hivi

London: Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310884

View attachment 3310870
R.I.P
 
Bora kapumzika Kanisa lipumue kidogo kwa heka heka zake.
 
Kwa kweli aende mahali anapostaili . Ni agent wa upinde huyo
Haukumuelewa tu,wenye dhambi hawatengwi wenye dhambi unatakiwa ukae nao karibu ili wakuige wewe yale mazuri uliyo nayo na ndicho alichokuwa anajaribu kukisema ila alikosa lugha sahihi ya kukiambia kizazi hiki kinachotafsiri maneno jinsi kinavyotaka ili kipate maana kinayoitaka.

Imani ya kweli ni ku-stick na wale unaohisi wana dhambi ili waanze kubadilika kuja kwenye hali yako unayohisi wewe ni nzuri zaidi yao,kuna haja gani kukaa wote mliokamilika mtasahihishana nini wakati wote mpo perfect?
 
Bora yeye walikuwa na cha kuwasubirisha mkuu wewe utakuwa na nini cha kuwasubirisha zaidi ya kufukiwa masaa matatu baada ya kuzimia?

Maana sijui kama wote huwa wanakuwa wamekufa kweli.
Je unajua Pope akifa ni lazima apigwe nyundo ya kichwa mara 3 kuhakikisha amekufa?

Ina maana hawaamini kifo?
 
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa.

Papa ambaye alizaliwa mwaka 1936 hivi karibuni amepitia changamoto ya upumuaji hadi kuhitaji mashine ya kusaidia kupumua na amekuwa akikabiliwa na matatizo ya kiafya ikiwemo maambukizi ya mapafu(nimonia) hadi kupelekea kulazwa kwa wiki kadhaa kabla ya baadaye afya yake kuimarika.

======================================

Pope Francis, the reforming head of the Catholic Church who sought to modernise the pastoral and public priorities of the Vatican, has died at the age of 88.

The Vatican announced the death of the Argentina-born Francis, a ground-breaking and progressive figure on Monday.

He was the first pope to be born or raised outside Europe in 12 centuries, the first from the Americas and the first Jesuit to hold the role.

View attachment 3310884

View attachment 3310870

Source: BBC
Apumzike kwa Amani Mtumishi Mwaminifu wa Mungu 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom