TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

Hadi wakati wake wa mwisho alikuwa anasisitiza vita ya Gaza isitishwe, mtu mwema sana.

Pumzika kwa amani Pope Francis.
Mbona mnatuchanganya ninyi wafia dini,tangu lini kafri akapumzika Kwa amani?
 
#TANZIA: Papa Francis Kiongozi wa kanisa Catholic duniani amefariki dunia akiwa na Umri wa miaka 88.

Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
#EastAfricaTV
 
Kifo ni process moja dangerous mkuu ndo mana unakuta mtu mpaka haja kubwa ina mtoka
 
Ulimwengu umejaa hadaa mpaka kanisa linafanganya,Jamaa alifariki kabla ya juzi.
 
Kwann unaamini hivyo kuwa black hawawezi?
Mkuu onyesha niliposema black hawawezi. Mimi nimesema tu hata hakitabadilika kitu kwa waafrika. Ogopa sana heshima ya bandia. Afrika itaheshimika kwa waafrika kujitambua
 
Kwenye macho ya MEDIA, ni kama watu amani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…