Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Mimi ni Muandventista Msabato. Umeelewa nilichoandika lakini? mambo ya chip sijui nini, ni uzushi wa shetani hayahusiani na alama halisi ya myama ambayo ni mafundisho ya uongo. Be careful!
Kwa kuanzia ni kuwa hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya propaganda za kisabato zinazofundishwa kwenye lessoni
.Sasa ngoja nianzie hapa..

Unajua huu upotofu wa tafsiri mbaya ya vitabu vya ufunuo na Daniel kwa Wasabato akuanzia leo...Ni historia ndefu...

Kanisa la Wasabato lilianza kama kikundi cha kiharakati kule Marekani lilianzishwa na William Miller aliyejiengua kutoka Kanisa La Baptist....

Miller alitumia muda mwingi kutafsiri Biblia ilo kujua ni lini Yesu atarudi...Alitumia vitabu vya Daniel na Ufunuo wa Yohana...

Ngoja nikae sawa nitaeendelea
 



kwa lugha hizi mada itakuwa imepamba moto safi sana.
 
hivi ndugu yangu ni lini utaukimbia ukweli? nakushauri usome Biblia Takatifu na umwombe Mungu akufunue akili kabla hujachelewa maana huhitaji kuweka kidole kwenye moto ukibisha kuwa hauunguzi
Kuna miungu mingi sana ndugu, ni Mungu yupi unayemzungumzia? Nyie waumini mna kasumba ya kujiaminisha na kulishana upepo kwamba mungu wenu ni sahihi zaidi kuliko wa wenzenu! Tofauti yangu na waumini ni kwamba siamini katika mafinyofinyo yenu yooote mnayoiita deities!
 
I'm waiting.....
 
Nikisoma mada zako nakulinganisha na yule kijana tajiri aliyetaka uzima wa milele.kwa maelezo yake alishika amri zote lakini Yesu almwambia amepungukiwa neno moja.akamwambia auze alivyo navyo awape maskini,jambo lililomshinda.Alishika amri lakini hakumjua Mungu wala uweza wake. Ndio maana Biblia husema "watu wangu huangamizwa kwa kukosa maarifa". Mungu akusaidie upate maarifa ya kumjua na sio kukariri hadithi za kutunga.
 
Mimi ni Muandventista Msabato. Umeelewa nilichoandika lakini? mambo ya chip sijui nini, ni uzushi wa shetani hayahusiani na alama halisi ya myama ambayo ni mafundisho ya uongo. Be careful!


Nimesema narudi kuja kuleta historia ya huyu Mbaptist William Miller na Joseph Bates waliojiengua kwenye makanisa yao ya awali .Pia nitaleta historia ya Bi Hellena White aliyejiengua kutoka Methodist Church...

Nikimaliza hapo nitaleta pia jinsi Ellen G White Estate pamoja na GC zilivyoficha nyaraka za Ellen G White alizopinga uwepo wa Utatu Mtakatifu na kufanya kikundi cha kiharakati cha SDA mwaka 1863 kupata shida kukubalika Marekani.

Pia nikipata muda nitaweka sababu za Joseph Smith kujiengua kutoka Kanisa La SDA na kuanzisha Jehova Witness...

Stay tuned....Naweka nondo zangu vizuri....Ila nawaza niweke hapa au kyanzisha uzi kabisa....Nita ku-tag au kuku-mention.....Nitakushangaza
BekaNurdin nitaku-mention pia bila kusahau Ls man
 
Hizi makitu zinatumika for a long time, sijui kwanini unayahusisha na iman conspiracy and backwardness@most
 

1. rejea kauli yangu; usiseme "nyie waumini" kwasababu sineni kwa niaba ya mtu yeyote.

2. rejea tena kauli yangu; sijazungumza kuhusu usahihi wa Mungu/miungu.

3. Mungu ninayemzungumzia ni MUNGU wa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo (Mathayo 22:32)
 
Mkuu hebu google "The secret oath of the Jesuits" uone picha kamili ya hili kanisa.Halafu unaweza pia ku-google "Child sacrifices in the Vatican."Inatisha na kutia woga mkuu.Kumbe tuliodhani ndio msaada wetu ni viongozi vipofu.Dah,mbaya sana.
Papa Fransisko (Wajesuiti) kama vile Obama, wote ni wapimga Kristo namba moja Dunia hii!
 
Mkuu hebu google "The secret oath of the Jesuits" uone picha kamili ya hili kanisa.Halafu unaweza pia ku-google "Child sacrifices in the Vatican."Inatisha na kutia woga mkuu.Kumbe tuliodhani ndio msaada wetu ni viongozi vipofu.Dah,mbaya sana.
Naona unakuja kwa kunyemelea.....
 
1. rejea kauli yangu; usiseme "nyie waumini" kwasababu sineni kwa niaba ya mtu yeyote.

2. rejea tena kauli yangu; sijazungumza kuhusu usahihi wa Mungu/miungu.

3. Mungu ninayemzungumzia ni MUNGU wa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo (Mathayo 22:32)

Sasa Mungu wa Ibrahimu, Isaka, na Yakobo wewe Mapunda anakuhusu nini?
 

MBONA PIA MABASI YA MWENDO KASI YA HIZI NAMBA NI KWANINI?
 
Kumbe upo,dah,nashukuru bwana.Naona unani-mind sana.Labda hizi nondo zitakusaidia kuchomoka huko.Nina nia njema, sio mbaya mkuu,ingawa uliniita kila jina baya hapa duniani.Kama nilivyosema awali,ni muhimu kila mtu aka-make informed decisions,sio kuburuzwa.Umaamuma ni mbaya sana.
Naona unakuja kwa kunyemelea.....
 


MMEAMBIWA MTAFUATA MILA ZAO KWA KUJUA AU KWA KUTO KUJUA...HIVYO MJIANDAE...KAMA WEWE NI MCHA MUNGU KILA LINALOKUJA JIHOJI MARA MBILI MBILI KWANINI USIKUBALI TUU..........PIA KATIKA HAO HAO WAUMINI WAKUBWA ANAWEZA KUWA NI MMOJA WA WAFUASI WAO PASIPO NYIE KUJUA...NA NDIO MAANA KAMA MLIMSIKIA YULE KIONGOZI WA MPINGA KRISTO ALIYE HAPA TANZANIA ALISEMA HAWAMZUII MTU KUABUDU DINI YAKE YEYOTE TENA WANATAKA WAUMINI HIVYO:

SISHANGAI KUSIKIA POP NI MFUASI WA MPINGA KRISTO
PIA SISHANGAI KUSIKIA SHEIKH NI MFUASI WAO PIA..
Watatumia wanja huo huo wa uumini ili kuwapata walio wengi...vipengele vya biblia au quran vitabadilishwa kiaina pasipo nyie kugundua....Hivyo kila mtu kichwa chake na akili yake aliyopewa na Muumba
 
Ni swali zuri.Sina hakika na unachokisema,lakini kama kweli umeiona namba 666, ina maana kwamba kampuni hiyo inamilikiwa na Satanist ambaye anamuabudu Shetani.Symbology ina maana sana kwa Satanists.Ni kwamba Satanist anapoitumia symbol yeyote inayomuwakilisha Shetani,kwanza anajitambulisha kwa Satanists wenzie,lakini pia ni kama maombi kwamba utawala wa Shetani uje.Ni kama wewe kama ni Mkristo katika sala ya Bwana unaposema "UFALME WA MUNGU UJE,"Satanists wao kwa matumizi symbols kama 666 wanasema "ufalme wa Shetani uje.'
MBONA PIA MABASI YA MWENDO KASI YA HIZI NAMBA NI KWANINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…