Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Hivi hujui kua google ni GIGO? Garbage In Garbage Out. Anaweza lala mjinga mmoja akakurupuka akaandika anachojisikia kisa ana kiblog uchwara. Hivi una yaamini kila yanayooneshwa na google?? Km wewe ni intellectual sidhan km utakua na akili nzuri kuipa google 100% ya research zako.Hujui kinachoendelea nyuma ya pazia wewe ndio maana unaongea maneno hayo. Google "The secret oath of the Jesuits "uone mpango wao kwako na mimi na ukweli kuhusu wao.
Hlf btw Kanisa Katoliki ndo Kanisa Mama, ndo maana kny mafunzo hakuna sehemu mtu unafundishwa kumbagua mwenye imani tofaut n wewe. Wote ni wamoja. Ila nyie watu ndo hua mnaletaga utengano mpk mashuleni. Hamshirikiani na wenzenu chaaaaa