Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Papa Francis amuunga mkono Mpinga Kristo

Ukweli upi ndugu..? Porojo za mitandaoni ambao kila mtu anaweza andika...??

Hebu nikuulize ni lini alisema hayo? Alimsapoti mtu gani..? Nani alikwambia micro-chip ni alama ya mpinga Kristo ? Hii umetolea wapi..?

Halafu mbona kitabu cha apocylpse cha Yohana hakiongelei mambo hayo..? Huu upuuzi umeutolea wapi..??

Tatu wewe ni dhehebu gani..?
Ww ndo mpuuzi
 
Ukweli upi ndugu..? Porojo za mitandaoni ambao kila mtu anaweza andika...??

Hebu nikuulize ni lini alisema hayo? Alimsapoti mtu gani..? Nani alikwambia micro-chip ni alama ya mpinga Kristo ? Hii umetolea wapi..?

Halafu mbona kitabu cha apocylpse cha Yohana hakiongelei mambo hayo..? Huu upuuzi umeutolea wapi..??

Tatu wewe ni dhehebu gani..?
Ww sababu u roma hvyo hupendi sikia ukweli hta km Papa wenu anawaunga mkono Freemason
 
Unacho ongea hakina mantiki kwa kuwa mimi sio shoga na wala sitakuwa shaken. Halafu unashangaza, mbona I have just reported what he said, why the fuss. He felt kwamba it is the right time for us to know. Nilichofanya ni kukuletea ujumbe alio ongea na waumini wengine Vatican ambao na wewe una haki ya kuujua. Kama yeye hakuona kwamba ni siri, kwa nini wewe uuone siri. Ni ajabu sana.
Waaambie hao waroma wasojua vzr bible
 
MTAJIJU!

hayo maombi yenu hayafanyi kazi ama..?
Usije ukafikiri uko salama kwa kutokuwa mmoja wao, imani yenyewe uliyonayo haba. Sema tutajiju na umkimbilie Mungu. Shetani ana nguvu kuliko dini/dhehebu lako!
 
Usije ukafikiri uko salama kwa kutokuwa mmoja wao, imani yenyewe uliyonayo haba. Sema tutajiju na umkimbilie Mungu. Shetani ana nguvu kuliko dini/dhehebu lako!
MTAKOMA TU!
mzunguko mzungukoni
 
Kwa maana wadanganyifu wengi wametokea duniani wasiokiri ya kuwa Yesu Kristo yuaja katika mwili, huyo ndiye yule mdanganyifu na mpinga kristo..every knees shall bow down na kila ulimi utakiri kuwa Yesu ni Bwana..time will tell!
 
Waaambie hao waroma wasojua vzr bible
Hivi kumbe kuchambua agano la kale pekee ni kuijua Bible vizuri?? !![emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji32][emoji32] Nilikua sijui[emoji125] [emoji125]
 
Nanii wakunambia kwa nini papa Benedict wa kumi na sita alijiuzuru kwa kigezo cha kusingizia umri ndo akachaguliwa huyu francins
 
Hamphnicky

Mpinga Kristo namba MOJA ni Mzanzibari Huru

Kamanda, unanisingia bure mimi simpingi yesu

lakini nisemalo ni kwamba yesu wa bibiliani never existed, wewe ukiweza kutowa ushahidi kama kweli kulikuwa na mtu anakwenda juu ya maji sawa, mbona hakuna kitabu chochote cha historia ukiondosha agano jipya kiloandika matukio makubwa munayodai kafanya yesu.

Nikisema wanahistoria waliokwepo siku ambazo ndio yesu alitakiwa kuwepo kwa mujibu wenu, waandishi kama wa kiroma kama vile Tacitus, na kiyahudi kama vile Josephus, hakuna alosema kuna mtu alikuwa mungu akitembea juu ya maji, au kifufua watu, au akigeuza maji kuwa ulevi, au akilisha watu 5,000 kwa samaki 2 na vipande 5 vya mkate.

sasa ikiwa wewe unao ushahidi lete

ahsante
 
Katika hali ya kushangaza, Papa Francis amejitokeza hadharani kuunga mkono matumizi ya vichipu vya RFID, yaani Radio Frequency Identification kwa wanadamu. Amesema tekinolojia hii inaleta matumaini makubwa katika kutatua matatizo mengi ya wanadamu na hivyo kuboresha ustawi wao.

Matamshi haya yanakuja huku akijua msimamo wa kiimani wa makanisa mengi ya Kikristo na hata kanisa Katoliki lenyewe. Makanisa mengi ya kikristo yanaamini kwamba RFID chipping ni alama ya mnyama au Shetani kama ilivyoelezwa katika kitabu cha Ufunuo. Tukio hili kufuatana na imani ya makanisa haya, linaashiria mwisho wa dunia.

Katika kitabu cha Ufunuo13 msitari wa 16-18 tunasoma maneno haya, 16Naye alimlazimisha kila mtu, mdogo na mkubwa, tajiri na maskini, huru na mtumwa, kupokea chapa katika mkono wake wa kulia au paji la uso, 17 ili kila mtu asiweze kununua au kuuza mpaka awe na hiyo chapa, ambalo ndilo jina la huyo mnyama au namba ya jina lake. 18 Hii inahitaji hekima, kama mtu ana ufahamu aitafute namba ya huyo mnyama, kwa sababu ni namba ya kibinadamu. Namba yake ni 666.

Kwa wale wachunguzi watakubaliana na mimi kwamba namba hii inatumika sana siku hizi.Wapo ambao wanaitumia kwa uwazi kwenye bidhaa. Wanamuziki wa Rock hasa nchi za Ulaya na Marekani nao wanaitumia sana, lakini wengi wanatumia kwa siri, kwa hiyo inahitaji umakini mkubwa kuweza kujua kwamba ni 666. Hata logo ya Olympic ina namba 666. Matumizi ya namba hii kwenye barcodes ni wazi kidogo!

Katika hotuba yake ya kila wiki Vatican, Papa alizungumzia juu ya imani aliyonayo kwenye tekinolojia ya RFID. Aliwahakikishia waumini wake kwamba hakuna athari zozote za kiroho au kiafya zinazoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID. Hata hivyo inafahamika kwamba yapo matatizo makubwa ya kiafya yanayoweza kutokana na matumizi ya vichipu vya RFID vinapochoka, ikiwa ni pamoja na maumivu makali mwilini na majipu mwili mzima.

Aliendelea kwa kusema wamechunguza maandiko vizuri na hivyo wanaweza kusema kwamba hakuna ushahidi wowote unao-onyesha kwamba vichipu vya RFID ambacho kinawekwa mwilini kina muwakilisha Shetani. Nadhani alisahau Ufunuo 13:16-18! Aliongeza kusema RFID ni baraka kutoka kwa Mungu mwenyewe ambayo ameileta kwa wanadamu.

Aliwaomba wauminu wa Kanisa Katoliki waipokee baraka hii kwa moyo mmoja. Alimalizia kwa kusema kuanzia sasa itakuwa lazima kwa kila mfanyikazi wa Vatican kuwekewa kichipu cha RFID.

Kusoma zaidi:Google "Pope Francis goes public in support of RFID implantation. "
Source;chill source
 
Back
Top Bottom