Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Papa angetulia kabisa kushindwa kuonya mapadri wanao lawiti watoto wadogo na wanao mega wale za watu ,atuache na oparetion yetu who is papa by the way?
Huyo papa wa afrika tu ndo wanaompa nguvu ila huko kwao hana influence kabisa ndo maana hata makanisani wamebaki vikongwe tu ndo wanaoenda........watu wanawaona ni wasanii tu labda kwa mpumbavu ndo anaeweza kuwaamini
 
Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na warusi kumuweka meya mpya ni ,jiji lenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine

Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni jiji la Bikira Maria

Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima aseme kitu hawezi kaa kimya wakati jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani

Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
 
Mimi ninamlaum raisi wa Ukraine kwa kutokuwa msikivu angeachia madalaka,na jeshi la Ukraine nawalaum kwa kutochukua madaraka ili vita iishe,wajipange upya,ona Sasa wanao pata shida ni raia wasio kuwa na hatia yoyote,Wana siasa nawachukia sana,raisi kajificha shimoni na raia wanakifa
Unamlaumu anayevamiwa unaacha kulaumu mvamizi
 
Ukraine's ‘City of Mary’ has been turned into a cemetery, says Catholic leader​

By CNA Staff
Kyiv, Ukraine, Mar 10, 2022 / 06:30 am

A Ukrainian Catholic leader said on Thursday that the besieged city of Mariupol — the “City of Mary” — has been transformed into a cemetery by Russian bombardment.

In a video message issued on March 10, Major Archbishop Sviatoslav Shevchuk lamented what he described as the “mass murder” of Ukrainians following Russia’s full-scale invasion.

“Today my conscience and the conscience of every Christian demands that we raise our voices throughout the world and loudly say the word ‘No,’ to declare strong opposition to the mass murder of people in Ukraine,” he said.

“Especially in these last moments, we see mass murder in the besieged city of Mariupol. This city, which was founded by the Greek community as the ‘City of Mary,’ has been transformed into a cemetery for tens of thousands of people.”

Shevchuk said that Mariupol has a population of almost 400,000 people.

“For almost two weeks the city is under complete siege. People are dying from hunger. People are dying from the cold. On their heads there are falling on rockets, shells, bombs,” the 51-year-old major archbishop commented.

“Today we must remember them and, in their name, speak to the conscience of the whole world. We beseech you: Open humanitarian corridors! Give women, children, and the elderly an opportunity to leave this cold, besieged city. Give us the opportunity to send food and medicine there. Give us an opportunity to rescue people.”

“In the name of the city of Mariupol, let us appeal to the whole world: Save the skies over Ukraine! Do everything possible to close the Ukrainian skies to Russian weapons and Russian aviation dropping bombs on peaceful inhabitants.”

Vatican Secretary of State Cardinal Pietro Parolin expressed dismay on Wednesday at the bombing of hospital facilities in Mariupol.

He told a reporter at an event in Rome on March 9 that “it is unacceptable to bomb a hospital.”

“There are no reasons or motivations for doing so,” the Vatican’s top diplomat said.

his video message, Shevchuk urged priests and bishops of the Ukrainian Greek Catholic community worldwide to share “the truth about the genocide of the Ukrainian people.”

“In all our churches, I ask that you serve memorial services for the reposed for all those who were buried in common graves without Christian prayer and a funeral,” he said.

Source:Catholic News Agency (CNA)
 
Kyiv, Ukraine, Mar 10, 2022 / 06:30 am

A Ukrainian Catholic leader said on Thursday that the besieged city of Mariupol — the “City of Mary” — has been transformed into a cemetery by Russian bombardment.

In a video message issued on March 10, Major Archbishop Sviatoslav Shevchuk lamented what he described as the “mass murder” of Ukrainians following Russia’s full-scale invasion.

“Today my conscience and the conscience of every Christian demands that we raise our voices throughout the world and loudly say the word ‘No,’ to declare strong opposition to the mass murder of people in Ukraine,” he said.

“Especially in these last moments, we see mass murder in the besieged city of Mariupol. This city, which was founded by the Greek community as the ‘City of Mary,’ has been transformed into a cemetery for tens of thousands of people.”

Shevchuk said that Mariupol has a population of almost 400,000 people.

“For almost two weeks the city is under complete siege. People are dying from hunger. People are dying from the cold. On their heads there are falling on rockets, shells, bombs,” the 51-year-old major archbishop commented.

“Today we must remember them and, in their name, speak to the conscience of the whole world. We beseech you: Open humanitarian corridors! Give women, children, and the elderly an opportunity to leave this cold, besieged city. Give us the opportunity to send food and medicine there. Give us an opportunity to rescue people.”

“In the name of the city of Mariupol, let us appeal to the whole world: Save the skies over Ukraine! Do everything possible to close the Ukrainian skies to Russian weapons and Russian aviation dropping bombs on peaceful inhabitants.”

Vatican Secretary of State Cardinal Pietro Parolin expressed dismay on Wednesday at the bombing of hospital facilities in Mariupol.

He told a reporter at an event in Rome on March 9 that “it is unacceptable to bomb a hospital.”

“There are no reasons or motivations for doing so,” the Vatican’s top diplomat said.
Wamlaumu idiot rais wao aliyewaaminisha kila raia achukue silaha. It could have been better kama wanajeshi wangeshindwa wao na raia wangebaki raia tu.
 
Syria,Iraq,myammar walikuwa watu hawauliwi?Wazungu ni wabaguzi

Sikumbuki alikemea lini US kuhusu Afghanistan, etc

Hana ubaguzi, juzi tu alibusu miguu ya mahasimu wa Sudan Kusini kama ishara ya kuwasihi waache kupigana vita, hadi wenyewe wakapigwa butwaa. Kumbuka Sudan Kusini sio wazungu, ni weusi tii

1647199370531.png
 
Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na kumuweka meya mpya ni ,jiji kwenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine

Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria

Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima asome jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani

Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Wapuuzi wakati wa ukraine wenyewe ndo wanavamia makanisa na kufanya raia kua kama ngao zao wakipambana na warusi
Screenshot_20220313-122102_RT News.jpg
 
Jiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na kumuweka meya mpya ni ,jiji kwenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine

Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria

Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima asome jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani

Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Bikira maria nae kawasusa, atasaidiaje watu wanaolawiti waumini wao tena watoto, abariki kanisa la magharibi lenye uswahiba na mashoga na lililotumika kukandamiza waafrika.........nyie labda muombeni amba ruti tu aje kuwasaidia
 
LIBYA hakuiona wala kuisikia??
Huku Afrika Vita Nyingi zinaundwa na Hao jamaa watu wetu wanakufa wanakaa kimya hawasemi kitu
Labda wewe ndio hukufuatilia.

Mbona walimkemea Gadafi aache kuua wananchi wake na wakaweka hadi NO FLY ZONE kumzuia asiwaue waandamanaji kutokea angani!
 
LIBYA hakuiona wala kuisikia??
Huku Afrika Vita Nyingi zinaundwa na Hao jamaa watu wetu wanakufa wanakaa kimya hawasemi kitu
Msiwe mashabiki vipofu, wale weusi tii wa Sudan ya kusini si aliwaita na kuwapigia magoti kabisa na kuwashika vichwa vyao kuwa ugomvi wao usiwatese wananchi?
 
Hana ubaguzi, juzi tu alibusu miguu ya mahasimu wa Sudan Kusini kama ishara ya kuwasihi waache kupigana vita, hadi wenyewe wakapigwa butwaa. Kumbuka Sudan Kusini sio wazungu, ni weusi tii

View attachment 2149385
Yaani watu hawalioni hilo na aliwaita mwenyewe na aliongea kwa kusisitiza sana, hongera kwa kuleta picha hii mie ilifutika
 
Kama kweli amesema hivyo, ni wazi kwamba Russia ina mitihani mzito, Since Hitler & gladio operations the papacy haijawahi kufail missions, hivyo Putin inabidi aongeze umakini sana.
 
Hana ubaguzi, juzi tu alibusu miguu ya mahasimu wa Sudan Kusini kama ishara ya kuwasihi waache kupigana vita, hadi wenyewe wakapigwa butwaa. Kumbuka Sudan Kusini sio wazungu, ni weusi tii

Yaani watu hawalioni hilo na aliwaita mwenyewe na aliongea kwa kusisitiza sana, hongera kwa kuleta picha hii mie ilifutika
Msipumbazwe na maigizo ya hao watu. Wamejaa Viini Macho na Unafiki.
 
Back
Top Bottom