Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wameguswa kwenye maslahi yao lazima wote waliePapa ni kibaraka wa mabeberu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameguswa kwenye maslahi yao lazima wote waliePapa ni kibaraka wa mabeberu
Ujue wakatoliki wamewekeza sana kwenye mahospitali, shule na Vyuo Ukraine kwahiyo wewe unaona ni sawa tu huyo mwehu mrusi kupiga mabomu hospitali, shule na Vyuo?Wameguswa kwenye maslahi yao lazima wote walie
wakoloni hao wameshatupa hasara kubwa afrika kwa sasa na wao wapambane na hali zao...........mrusi piiiiga hao mbwaUjue wakatoliki wamewekeza sana kwenye mahospitali, shule na Vyuo Ukraine kwahiyo wewe unaona ni sawa tu huyo mwehu mrusi kupiga mabomu hospitali, shule na Vyuo?
Maelfu ya Watanzania ujue wanasoma Ukraine na wamepitia wengi.Hujui hata athari zake kwa watanzania kwa ulipuaji anaoufanya mrusi
Hata Sisi watanzania tuna maslahi kwenye Vyuo vya Ukraine
Walionyuma yake......hapo ni proxy war tu kama zile wanazozipendaga mabepari kwenye ardhi za wenzaoUkraine alishawahi kuwa mkoloni wa Tanzania au Afrika? Umeehuka?
Magaidi ilipaswa wauliwe ili twende tukawekeze dubai na doha..tule maisha kwa amani..huoni sahivi dunia imetulia.Hawa wa Vatcn n makenge tu, mbona hakukemea pale US alipoivamia Libyaaa, Irq, Syriq, watuache na sie kwa ukrain
Kakujibu kwa jinsi ya uwasiliswaji wako wa swali au hoja yakoMwenzako amesema huwa ana mute kwasababu wanaotiwa kibano ni magaidi.
Waliambiwa kuna wanafunzi wa udaktari zaidi ya 300 lakini bado wanashadadia vita!Ujue wakatoliki wamewekeza sana kwenye mahospitali, shule na Vyuo Ukraine kwahiyo wewe unaona ni sawa tu huyo mwehu mrusi kupiga mabomu hospitali, shule na Vyuo?
Maelfu ya Watanzania ujue wanasoma Ukraine na wamepitia wengi.Hujui hata athari zake kwa watanzania kwa ulipuaji anaoufanya mrusi
Hata Sisi watanzania tuna maslahi kwenye Vyuo vya Ukraine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda walikuwa wakoloni kwenye familia zao haa haa haa!Ukraine alishawahi kuwa mkoloni wa Tanzania au Afrika? Umeehuka?
Walikemea na ndiyo maana Tony wa England alilazimishwa nchini kwake ajiuzuruHawa wa Vatcn n makenge tu, mbona hakukemea pale US alipoivamia Libyaaa, Irq, Syriq, watuache na sie kwa ukrain
Acha Putin nae awatie adabu magaidi wa Ukrain maana hawana mana wanahatarisha usalama wa Russia yetu. The upcoming superpowerKaa utulie hawa walikua magaidi walikuwa wana agenda za kuharibu amani ya dunia kwa ajenda zao za is, sasa hivi wamekaa kutulia, watu wanaenjoy maisha abudabi na Dubai kiroho safi.
Haukuwa ubaguzi wala nini, war is the way of peace.
#MaendeleoHayanaChama