Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Wameguswa kwenye maslahi yao lazima wote walie
Ujue wakatoliki wamewekeza sana kwenye mahospitali, shule na Vyuo Ukraine kwahiyo wewe unaona ni sawa tu huyo mwehu mrusi kupiga mabomu hospitali, shule na Vyuo?

Maelfu ya Watanzania ujue wanasoma Ukraine na wamepitia wengi.Hujui hata athari zake kwa watanzania kwa ulipuaji anaoufanya mrusi

Hata Sisi watanzania tuna maslahi kwenye Vyuo vya Ukraine
 
wakoloni hao wameshatupa hasara kubwa afrika kwa sasa na wao wapambane na hali zao...........mrusi piiiiga hao mbwa
 
Hawa wa Vatcn n makenge tu, mbona hakukemea pale US alipoivamia Libyaaa, Irq, Syriq, watuache na sie kwa ukrain
 
Magaidi ilipaswa wauliwe ili twende tukawekeze dubai na doha..tule maisha kwa amani..huoni sahivi dunia imetulia.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ujue wakatoliki wamewekeza sana kwenye mahospitali, shule na Vyuo Ukraine kwahiyo wewe unaona ni sawa tu huyo mwehu mrusi kupiga mabomu hospitali, shule na Vyuo?

Maelfu ya Watanzania ujue wanasoma Ukraine na wamepitia wengi.Hujui hata athari zake kwa watanzania kwa ulipuaji anaoufanya mrusi

Hata Sisi watanzania tuna maslahi kwenye Vyuo vya Ukraine
Waliambiwa kuna wanafunzi wa udaktari zaidi ya 300 lakini bado wanashadadia vita!
 
Hawa wa Vatcn n makenge tu, mbona hakukemea pale US alipoivamia Libyaaa, Irq, Syriq, watuache na sie kwa ukrain
Walikemea na ndiyo maana Tony wa England alilazimishwa nchini kwake ajiuzuru
 
Kaa utulie hawa walikua magaidi walikuwa wana agenda za kuharibu amani ya dunia kwa ajenda zao za is, sasa hivi wamekaa kutulia, watu wanaenjoy maisha abudabi na Dubai kiroho safi.

Haukuwa ubaguzi wala nini, war is the way of peace.

#MaendeleoHayanaChama
Acha Putin nae awatie adabu magaidi wa Ukrain maana hawana mana wanahatarisha usalama wa Russia yetu. The upcoming superpower
 
Back
Top Bottom