Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Huyo papa wa afrika tu ndo wanaompa nguvu ila huko kwao hana influence kabisa ndo maana hata makanisani wamebaki vikongwe tu ndo wanaoenda........watu wanawaona ni wasanii tu labda kwa mpumbavu ndo anaeweza kuwaaminiPapa angetulia kabisa kushindwa kuonya mapadri wanao lawiti watoto wadogo na wanao mega wale za watu ,atuache na oparetion yetu who is papa by the way?
Unamlaumu anayevamiwa unaacha kulaumu mvamiziMimi ninamlaum raisi wa Ukraine kwa kutokuwa msikivu angeachia madalaka,na jeshi la Ukraine nawalaum kwa kutochukua madaraka ili vita iishe,wajipange upya,ona Sasa wanao pata shida ni raia wasio kuwa na hatia yoyote,Wana siasa nawachukia sana,raisi kajificha shimoni na raia wanakifa
Ubishi huwa hausaidii,ubishi wa raisi ndoo unaiheuza Ukraine kuwa mashimo,Unamlaumu anayevamiwa unaacha kulaumu mvamizi
Sikumbuki alikemea lini US kuhusu Afghanistan, etcKatika waraka uliosomwa live na Pope Francis
Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu
Source: skynews ikimwonyesha Pope akisoma statement
Wamlaumu idiot rais wao aliyewaaminisha kila raia achukue silaha. It could have been better kama wanajeshi wangeshindwa wao na raia wangebaki raia tu.Kyiv, Ukraine, Mar 10, 2022 / 06:30 am
A Ukrainian Catholic leader said on Thursday that the besieged city of Mariupol — the “City of Mary” — has been transformed into a cemetery by Russian bombardment.
In a video message issued on March 10, Major Archbishop Sviatoslav Shevchuk lamented what he described as the “mass murder” of Ukrainians following Russia’s full-scale invasion.
“Today my conscience and the conscience of every Christian demands that we raise our voices throughout the world and loudly say the word ‘No,’ to declare strong opposition to the mass murder of people in Ukraine,” he said.
“Especially in these last moments, we see mass murder in the besieged city of Mariupol. This city, which was founded by the Greek community as the ‘City of Mary,’ has been transformed into a cemetery for tens of thousands of people.”
Shevchuk said that Mariupol has a population of almost 400,000 people.
“For almost two weeks the city is under complete siege. People are dying from hunger. People are dying from the cold. On their heads there are falling on rockets, shells, bombs,” the 51-year-old major archbishop commented.
“Today we must remember them and, in their name, speak to the conscience of the whole world. We beseech you: Open humanitarian corridors! Give women, children, and the elderly an opportunity to leave this cold, besieged city. Give us the opportunity to send food and medicine there. Give us an opportunity to rescue people.”
“In the name of the city of Mariupol, let us appeal to the whole world: Save the skies over Ukraine! Do everything possible to close the Ukrainian skies to Russian weapons and Russian aviation dropping bombs on peaceful inhabitants.”
Vatican Secretary of State Cardinal Pietro Parolin expressed dismay on Wednesday at the bombing of hospital facilities in Mariupol.
He told a reporter at an event in Rome on March 9 that “it is unacceptable to bomb a hospital.”
“There are no reasons or motivations for doing so,” the Vatican’s top diplomat said.
Syria,Iraq,myammar walikuwa watu hawauliwi?Wazungu ni wabaguzi
Sikumbuki alikemea lini US kuhusu Afghanistan, etc
Sikumbuki alikemea lini US kuhusu Afghanistan, etc
Wapuuzi wakati wa ukraine wenyewe ndo wanavamia makanisa na kufanya raia kua kama ngao zao wakipambana na warusiJiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na kumuweka meya mpya ni ,jiji kwenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine
Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria
Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima asome jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani
Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Bikira maria nae kawasusa, atasaidiaje watu wanaolawiti waumini wao tena watoto, abariki kanisa la magharibi lenye uswahiba na mashoga na lililotumika kukandamiza waafrika.........nyie labda muombeni amba ruti tu aje kuwasaidiaJiji la Mariupol la Ukraine ambako watu wengi wameuawa sana hadi meya wake wamemteka warusi na kumuweka meya mpya ni ,jiji kwenye wakatoliki wengi kuliko dini zingine
Na mji ambao jina lake ulikuwa dedicated kwa Biikira Maria.Jina Mariupol maana yake ni Bikira Maria
Hilo jiji linaloshambuliwa mno na warusi ni jiji la Bikira Maria, Papa lazima asome jiji la Bikira Maria linashambuliwa pande zote watoto wa Bikira Maria wanauawa ,kutiwa vilema halafu Papa anyamaze ? Haiwezekani
Wakatoliki popote Mlipo duniani ombeeni Ukraine watoto wa Bikira Maria Mariupol Ukraine wanauawa kama kuku
Msanii tu huyo kwenye sanaa...............Hana ubaguzi, juzi tu alibusu miguu ya mahasimu wa Sudan Kusini kama ishara ya kuwasihi waache kupigana vita, hadi wenyewe wakapigwa butwaa. Kumbuka Sudan Kusini sio wazungu, ni weusi tii
View attachment 2149385
Labda wewe ndio hukufuatilia.LIBYA hakuiona wala kuisikia??
Huku Afrika Vita Nyingi zinaundwa na Hao jamaa watu wetu wanakufa wanakaa kimya hawasemi kitu
Msiwe mashabiki vipofu, wale weusi tii wa Sudan ya kusini si aliwaita na kuwapigia magoti kabisa na kuwashika vichwa vyao kuwa ugomvi wao usiwatese wananchi?LIBYA hakuiona wala kuisikia??
Huku Afrika Vita Nyingi zinaundwa na Hao jamaa watu wetu wanakufa wanakaa kimya hawasemi kitu
Yaani watu hawalioni hilo na aliwaita mwenyewe na aliongea kwa kusisitiza sana, hongera kwa kuleta picha hii mie ilifutikaHana ubaguzi, juzi tu alibusu miguu ya mahasimu wa Sudan Kusini kama ishara ya kuwasihi waache kupigana vita, hadi wenyewe wakapigwa butwaa. Kumbuka Sudan Kusini sio wazungu, ni weusi tii
View attachment 2149385
Hana ubaguzi, juzi tu alibusu miguu ya mahasimu wa Sudan Kusini kama ishara ya kuwasihi waache kupigana vita, hadi wenyewe wakapigwa butwaa. Kumbuka Sudan Kusini sio wazungu, ni weusi tii
Msipumbazwe na maigizo ya hao watu. Wamejaa Viini Macho na Unafiki.Yaani watu hawalioni hilo na aliwaita mwenyewe na aliongea kwa kusisitiza sana, hongera kwa kuleta picha hii mie ilifutika