Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Huyo papa wa afrika tu ndo wanaompa nguvu ila huko kwao hana influence kabisa ndo maana hata makanisani wamebaki vikongwe tu ndo wanaoenda........watu wanawaona ni wasanii tu labda kwa mpumbavu ndo anaeweza kuwaamini
Kheee Papa hana influence??????
 
Msiwe mashabiki vipofu, wale weusi tii wa Sudan ya kusini si aliwaita na kuwapigia magoti kabisa na kuwashika vichwa vyao kuwa ugomvi wao usiwatese wananchi?
Kwani hao weusi wanapigana wakipewa silaha na nani?? Mbona hajawahi kusema nyie Wazungu acheni kuanzisha vurugu afrika ili muibe mali.kama wanavyofanya congo etc
 
Huu ni ujinga wa standard gauge, hii "Deify" imeiokota wapi?
Kilatini ndugu. Usitukane.

Hili ndilo jia la papa akijiita " mwakilishi wa Mungu duniani."

Uliza wakujuze kama haujui .kweli
 
Katika waraka uliosomwa live na Pope Francis

Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine . Amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu.

Source: skynews ikimwonyesha Pope akisoma statement
Mashariki ya kati watu wanakufa tena kwa hizo hzo bunduki na wao wapo kimya wazungu ni ovio sna
 
Na bado, tunataka mafreemasons watiwe adabu safari hii.
 
Papa ndio nani aache unafki mbona wafuasi wake wanafira watoto wa watu kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…