Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Papa Francis amwambia Putin aache mauaji ya kimbari Ukraine amlaani kwa kutaka kuigeuza Ukraine kuwa nchi ya makaburi matupu

Hakuna cha kutenganisha christian, paganism, napeleone, ottoman, rome empire walishindwa sembse nyie magaid ya ulimwengu
rome itawatenganisha vp wakati ndo mmekalia kiti cha huo ufalme wa giza
 
Kilatini ndugu. Usitukane.

Hili ndilo jia la papa akijiita " mwakilishi wa Mungu duniani."

Uliza wakujuze kama haujui .kweli
Wewe toa kwanza hicho kibanz nyuma ulichochemekw na jini la mtume muhammadu,muslims lazima mshadadie hii vita, magaid yenu yameuliwa sana
 
Kwani hao weusi wanapigana wakipewa silaha na nani?? Mbona hajawahi kusema nyie Wazungu acheni kuanzisha vurugu afrika ili muibe mali.kama wanavyofanya congo etc
Sasa wewe kama una akili unapewa vipi silaha na jirani ili uje kuua watu wako? Hizo akili zao nyeusi ndizo zinawafanya wapokee silaha hata wao wanashangaa waafrika watu wao halafu watamuongoza nani!
 
Weusi lakini ni wadini yake.
Kule kusikokua kwake anaamua ku mute. Ni ishara ya kukubaliana na kinachoendelea au haungi mkono upande wowote.
Hakuna sehemu yenye machafuko ambayo huwa ana mute sehemu zote huwa anaongea, sema huwa haufuatilii na ukumbuke ni kiongozi wa dunia hivyo nchi zote huwa zinakuwa na mwakirishi utambue hilo.
 
Hakuna sehemu yenye machafuko ambayo huwa ana mute sehemu zote huwa anaongea, sema huwa haufuatilii na ukumbuke ni kiongozi wa dunia hivyo nchi zote huwa zinakuwa na mwakirishi utambue hilo.
Mwenzako amesema huwa ana mute kwasababu wanaotiwa kibano ni magaidi.
 
Back
Top Bottom