Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

Huo ni ubatili unaopaswa kupingwa dunia nzima.
Sawa japokuwa hukutoa jibu linalotosheleza hoja. ie. Yupo mtu mahali (esp.Mjini) hana cha kufanya ili aweze kuendelea kuishi(ale chakula, alipie chumba, alipie bills mbalimbali n.k.) afanyeje? Yeye kaona hiyo ni fursa - kumbuka sio kwamba wote wanaojihusisha kufanya hayo wanapenda kufanya hivyo hapana ila mazingira yanawalazimisha.
 
padri anamjua asha zunguu anaachaje kufanyaa ufuskaaa 😀 😀
 
Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tarizo kubwa kwani hata mapadri na sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video.

Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia.
---

Pope Francis has warned priests and nuns about the dangers of watching pornography online, saying it "weakens the priestly heart".

The Pope, 86, was responding to a question about how digital and social media should be best used, at a session in the Vatican.

Pornography, he said, was "a vice that so many people have... even priests and nuns".

"The devil enters from there," the Pope told priests and seminarians.

As to how to navigate social media and the digital world, he said that they should be used but told them not to waste too much time on it.

"The pure heart, the one that Jesus receives every day, cannot receive this pornographic information," he said.
He advised the group to "delete this from your phone, so you will not have temptation in hand".

Church teaching sees pornography as an offence against chastity.
Tatizo lote linaanzia kubishana na muuma , mwenyezimungu anajua jinsi alivyowaumba binadam kwa matamanio ndio maana kwa wanaume wakaruhusiwa kuoa mwisho wanne ili mtu asizini bira kuoa lakin chaajabu wanawake nao wanajifanya miamba ya kukaa na ham zao eti wasifanye kuanzia utoto mpaka wanaingia kaburini ni kitu ambacho akiwezekan labda kwa kuongopeana wenyewe kwa wenyewe Ila kwa mungu anajua kila kitu
 
Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tarizo kubwa kwani hata mapadri na sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video.

Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia.
---

Pope Francis has warned priests and nuns about the dangers of watching pornography online, saying it "weakens the priestly heart".

The Pope, 86, was responding to a question about how digital and social media should be best used, at a session in the Vatican.

Pornography, he said, was "a vice that so many people have... even priests and nuns".

"The devil enters from there," the Pope told priests and seminarians.

As to how to navigate social media and the digital world, he said that they should be used but told them not to waste too much time on it.

"The pure heart, the one that Jesus receives every day, cannot receive this pornographic information," he said.
He advised the group to "delete this from your phone, so you will not have temptation in hand".

Church teaching sees pornography as an offence against chastity.
Wacha dhambi ya kubishana na uumbaji iwatafute mpaka watafunane wenyewe kwa wenyewe huku wakitunziana siri ila ndio tayar wameshindwa
 
padri anamjua asha zunguu anaachaje kufanyaa ufuskaaa 😀 😀
Kumjua mtu haijawa tatizo lakini Huo ndio mfano hai wa Ubatili. Unasema sitafanya halafu unakuwa kwenye foleni husika kufanya.
 
Yani unaenda kinyume na nature?
Unapambana na ukuta?
Padri asioe, asicheki porno, asifanye masturbation
Kibuyu kikijaa afanyeje?
Ndiomaana wanaishia kubaka vitoto
Ndio mwisho wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe mpaka wanakua mashoga
 
Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amekiri kuwa makasisi na watawa pia hutazama video za ngono mtandaoni huku akionya kuwa tabia hiyo inadhoofisha moyo wa kipadri.

Ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswali kuhusu jinsi vyombo vya habari vya kidijitali na mitandao ya kijamii vinapaswa kutumiwa, katika kikao kilichofanyika makao makuu ya kanisa hilo huko Vatican.

"Ponografia, ni tabia ambayo imewaambukiza watu wengi, hata makasisi na watawa. Ibilisi huingia kutoka huko," aliwaambia makasisi na waseminari.

Papa amefafanua kuwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii na ulimwengu wa kidijitali, ni lazima zitumike lakini akawasihi wasipoteze muda wao mwingi kuzitumia.

"Moyo safi, ambao unapokea Yesu Kristo kila siku, hauwezi kupokea habari hizi za ngono," ameeleza.
Ameshauri kikundi cha viongozi hao wa kidini kufuta
programu hizo kutoka kwenye simu zao, ili kuepuka pia kupata majaribu na kufanya vitendo visivyofaa vya kimaadili.

IMG_20221027_195242.jpg
 
Aah dedication nampa papa ya gigi mane asiekua sadio
 
Francis mwenyewe ni mdau wa porn! Wakristo hamjielewi mnapaswa kuuawa! Mimi ni budha njoeni huku
 
Back
Top Bottom