Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

Udhaifu.. nyege hazizuiliki kwa maombi.. mwili umedizainiwa kikamilifu
 
Kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anatoka na sister mmoja ambaye ni mwandamizi hapo ktk center yao maarufu sana huko mikoa ya kusini,na anasema wapo wengine hadi kwa mparange fresh tu.
 
It's time for changes in the Catholic Church !!!
 
Papa

CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES
27 Oktoba 2022

Papa asema hata mapdre na watawa wanaangalia video za ngono​

Papa Francis amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video ama picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "inadhoofisha moyo wa kipadre".

Papa, mwenye umri wa miaka 86, alikuwa akijibu swali kuhusu jinsi vyombo vya habari vya kidijitali na kijamii vinapaswa kutumiwa vyema, katika kikao kilichofanyika Vatican.

Ponografia, alisema, ilikuwa "tabia ambayo watu wengi wanayo... hata makasisi na watawa". "Ibilisi huingia kutoka huko," Papa aliwaambia makasisi na waseminari.

Kuhusu jinsi ya kuvinjari katika mitandao ya kijamii na ulimwengu wa kidijitali, alisema ni lazima zitumike lakini akawaambia wasipoteze muda mwingi kuzitumia.

"Moyo safi, ambao Yesu anapokea kila siku, hauwezi kupokea habari hizi za ponografia," alisema.
Aliwashauri "futa (picha na video za ngono) kutoka kwa simu yako, ili usiwe na majaribu mkononi".
Mafundisho ya kanisa huona ponografia kama kosa dhidi ya usafi wa maadili.

Matatizo ya afya ya akili yanayoweza kusababishwa na kutazama picha za ngono
Ukiacha imani tafiti zinaonesha kwamba kutazama ponografia pekee kunapunguza msongo wa mawazo na kuchanganyikiwa.

Lakini, mara kwa mara kuangalia ponografia, hiyo yenyewe ina matokeo mabaya.

Pia huongeza msongo wa mawazo.

Kutazama Ponografia kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo katika ndoa. Kukatishwa tamaa hutokea kati ya wanandoa wakati akili inapoanza kutarajia mifumo ya kufikirika, isiyowezekana ya ngono.

Source::BBC
 
Mmmm..Sikubaliani sana na hilo kwamba hazina maana kabisa. Ni Lazima mama D ujue kwamba wanao zalisha hizo Clips wako kibiashara zaidi - usidhani wanaEnjoy -Hapana.
Ni kwa njia hiyo mkono unaenda kinywani.

Lakini pia Huwezi kuishi umejifungia tu ndani ya box lako - ni lazima ujue na kinachoendelea huko nje.Yale yanayoendelea huko nje na unatakiwa uwe na habari nayo ni pamoja na uwepo wa utitiri wa Porn videoclips . Sasa utajua ubaya/madhara ya hizo porn clips ni yapi na Zinapatikana wapi n.k. ili leo na kesho ukimwona umpendaye akiwa katika eneo la "Zinapatikana wapi" uweze kumshauri(adult) au kumkataza(mtoto).
Sioni ulichotofautiana na mama D, hujaanisha manufaa yoyote katika maelezo yako.
 
Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video.

Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia.
---

Pope Francis has warned priests and nuns about the dangers of watching pornography online, saying it "weakens the priestly heart".

The Pope, 86, was responding to a question about how digital and social media should be best used, at a session in the Vatican.

Pornography, he said, was "a vice that so many people have... even priests and nuns".

"The devil enters from there," the Pope told priests and seminarians.

As to how to navigate social media and the digital world, he said that they should be used but told them not to waste too much time on it.

"The pure heart, the one that Jesus receives every day, cannot receive this pornographic information," he said.
He advised the group to "delete this from your phone, so you will not have temptation in hand".

Church teaching sees pornography as an offence against chastity.
Kwahy hadi maparoko wanaangaliaga PILAU hii dunia Sasa too much
 
Sioni ulichotofautiana na mama D, hujaanisha manufaa yoyote katika maelezo yako.
Ukirudia kusoma kwa umakini utaona nimesemea juu ya ubaya na madhara (i.e.zinakuwa ni kitu cha awareness creation) halafu kuchukua tahadhari.
 
Munishi aka malebo anawimbo wake anasema makasisi wao tu maana wanatenda dhambi
 
Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video.

Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia.
---

Pope Francis has warned priests and nuns about the dangers of watching pornography online, saying it "weakens the priestly heart".

The Pope, 86, was responding to a question about how digital and social media should be best used, at a session in the Vatican.

Pornography, he said, was "a vice that so many people have... even priests and nuns".

"The devil enters from there," the Pope told priests and seminarians.

As to how to navigate social media and the digital world, he said that they should be used but told them not to waste too much time on it.

"The pure heart, the one that Jesus receives every day, cannot receive this pornographic information," he said.
He advised the group to "delete this from your phone, so you will not have temptation in hand".

Church teaching sees pornography as an offence against chastity.
Kweli ukristo sio dini
 
Pornography inapaswa kufutwa dunia nzima maana ni uharibifu na ubatili.
Kweli kabisa ,ulaya ndio kuna viwanda vikuu vya uzalishaji wa hizo videos hawa jamaa hawana nia njema.
 
Kuangalia pamoja ama KILA mtu na simu yake
Huwa wanaangalia pamoja

Tena baadhi ya masista ni balaa wakimaliza kazi hupenda kukaa kwenye TV wanaweka video za ngono

Sista mwingine akisema watoe labda wasimamishe kwa muda ili waangalie taarifa ya habari wenzake wanakuwa wakali hatari wanamwambia acha hiyo hiyo
Papa kaongea ukweli kabisa usio na chembe ya uongo
 
Sio kwa watawa tuu hata kwa wanandoa video za ngono sio za kuangaliwa
Hazina maana kabisa
Hutumika kama shule ya kujifunzia mbinu za kimapenzi kwa sababu hakuna darasa rasmi la kujifunza mambo hayo.
 
Bibie; Inawezekana kabisa.Mfano hai ni Yesu mwenyewe. Yesu alikuwa mwanadamu alkini pia wapo wengi tuu walioweza kutoka mataifa mbalimbali duniani (including wanasayansi maarufu) hata hapa tz. We fuatilia tu utawajua.
Newton hakuoa maisha yake yote dunian lakn sijui kama ajawah kula tunda
 
Back
Top Bottom