Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

Angeulizwa kwanza alikuwa na maana gani ili tusikie maelezo yake.

Hata hivyo huyo Mrembo kwani ni jini, naye si binaadamu pia?.
 
Juzi Papa kasema ushoga ni haki, mara ka-like picha ya kahaba.... mimi ni nani?
 
Natalia nae eti anajihisi Kafika peponi [emoji1787]
 
Ila hata mimi ningekua papa sitaki unafiki ninge" like " kadada kametuliaa au siyo?[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.

Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.

Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.

Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?

Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
Huyu jamaa hafi tu
 
Back
Top Bottom