Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
Acha utani mkuu, Ina maana hata Yesu alikuwa na maisha ya vyeo tofauti na utakatifu?Usikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
Imani hudhihirishwa na matendo, Kama amelike picha za huyo dada aliye vaa kichupi maana yake yeye alipendezwa nayo.
Ukweli Ni kwamba Papa inawezekana kabisa akawa wakala wa shetani ila heshima anayopewa Ni kuwa watu wengi hawasomi biblia na historia ya dunia hii.