Papa Francis apenda picha ya mdada aliyevaa bikini instagram

Huyu papa wa sasa wakatoliki hawana hamu kwa vituko vyake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Unanisemea mimi mkatoliki?

Maana mimi sijachoshwa na vituko vyake, sijui una takwimu na waliochoshwa na vituko vyake uviweke hapa..?
 
Hiyo account una uhakika papa mwenyewe ndio anaisimamia ama kuitumia ? Kuna watu wa media wa ofc ya papa ndio wanahusika na vitu hivyo !

Viongozi wengi wa kisiasa , wasanii wakubwa kuna watu behind wanamiliki/wanaziongoza account zao za mitandao !!!
Wewe unaongoza akaunti ya papa kiongozi mkubwa duniani halafu una like picha za uchi za wanamitindo, unadhani unajiwakilisha wewe au uko badala ya papa.
 
Kimsingi chunga sana imani yako kwa Mungu wako..Mana dini nyingi kwa sasa zimebaki majina tu..ila ndani ni uozo.

Zaidi tusihukumu ili tusije nadi kuhukumiwa.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wanawake ni viumbe vilivyoumbwa Mungu,sasa kupenda kitu kizuri alichoumba Mungu kuna ubaya gani

Safi sana Papa
 
Hivi hii ya kulike picha nayo imezuiriwa na maandiko maana wakati ile maandiko yanaandikwa hakukuwa na hizi mambo za social media
 
Usikimbilie kuhukumu alichofanya. Papa ana vyeo nane na kila kimoja kina nafasi yake... Inatakiwa ujiulize hiyo like kaitoa kama Jorge Mario Bergoglio au kama papa Fransis.
Akiwa chumbani kwake au mambo yake ya faragha hayahusiani na upapa wake. Kutumia mitandao obvious anatumia muda wake wa mapumziko so anafanya vitu vyake binafsi
Akiwa chumbani vyeo anakua Jorge Mario Bergoglio so angalia una MuAccuss nani
Papa anatakiwa awe mfano kwa jamii na wanachama wake

Ku-like picha ya mwanamke aliejitanua akiwa kavaa chupi tu,anatuma ujumbe gani kwa jamii..

Sote tunajua kuna kuwa mambo maovu na mambo mazuri

Kwa Mungu kuna pepo na Moto,kuna mazuri mabaya..

Kwa ufupi Papa Francis mchimvi ๐Ÿ™‚
 
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.

Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.

Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.

Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?

Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
Wacha mathenge ushahidi uko wp!!?
 
Walio "unlike" ndiyo hao hao walio "like" in the first place. Logical.
Wanataka tu kumpaka matope Papa wa watu!
 
Wanamitindo nao ni waumini wake.. Huyo dada alikuwa ofisini,hayo ndo mavazi rasmi
 
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto kutoka Marekani.

Katika hatua ya kushtua wadau walianza kumuandama #PapaFrancis mitandaoni, Jambo lililopelekea Kanisa Katoliki ku-Unlike picha hiyo iliyopostiwa na Mwanamitindo huyo.

Mrembo huyo anayetumia jina la @nataagataa amekuwa akiposti picha za nusu uchi jambo ambalo limeleta tafsiri tofauti tofauti kwa kiongozi huyo mkubwa duniani.

Watu wa kwanza kuona 'LIKE' hiyo ni @barstoolsports na baada ya kuona 'Like' hiyo walimtafuta Natalia kwa njia ya #twitter na kumuuliza anajisikiaje?

Natalia akajibu, "Najiona nimefika Peponi".
Ulitaka awe anapiga picha na Malaika tu basi?
 
Back
Top Bottom