sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
My take:
1. Kwa sasa najikita katika haki za binadamu tu, as long as mtu hamdhuru mtu mwengine, kesi yake namuachia mwenyewe na Mungu.
2. Watu weupe hasa wa magharibi wana utu sana na wanajitahidi kutumia logic, hisia za dini haziwapeleshi.
4. Waafrika wengi wanaroho mbaya sana na wanaendesha na hisia na wamejawa na chuki. Na wana low emotional intelligence.
3. Mtaji mkubwa wa Israel ni wakiristo wenye chuki na uislam au waislam na wafia dini wasiojua kutofautisha Israel na Ukiristo
4. Huhitaji dini kua mtu mwema.
View: https://x.com/RaggedTP/status/1774381873369632786?s=20