Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
On one bed is right for men to men in case of sleeping brooeBible
Login
Follow Question
0
How should we interpret, "There will be two men in one bed; one will be taken, the other will be left"? Is this referring to homosexuality?
I tell you, in that night there shall be two men in one bed; the one shall be taken, and the other shall be left. - Luke 17:34
Luke 17:34
ESV - 34 I tell you, in that night there will be two in one bed. One will be taken and the other left.
Hakika chomoka humo ndugu ukwepane na Moto wa shetani Kaka.Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.
Inasikitisha sana ila basi tu.
Musa hakuwa mkimbizi pale. Jina lake ni la kimisri, alizaliwa Misri, katika ukoo waliowahi kuishi kule karne .Musa, Yosef and Yesu Mjudea wote hawakutoka misri..kule walikuwa ukimbizini
Umenielewa vibaya mkuu...sijamaansha haya maneno ni ktk maandko laaa...namemwambia huyo jamaa arejee Kwenye vtabu vitukufu ili aondoe shaka juu ya Muumba wake
Kuhusu huo msemo namaanisha,Mungu si binadamu au papa si Mungu
Majina sio lazima yahusiane na kabila(race) mkuu..kuna Wayahudi kibao wanaishi Iran, Syria, Urusi ya kisovieti, marekani na wana majina yanayoshabihiana na hayo maeneo wanayoishi si ajabu musa kuwa na jina la kimisri.. Kipindi kile wahamiaji(ama wakimbizi ama mateka) ilikuwa si rahisi sana kuchanganyika na wenyeji(kuzaliana) kama ilivyo leo kwa hiyo walikuwa wanajulikana tu hawa ni watumwa Wayahudi hata kama wamekaa hiyo nchi miaka sabini na ndo maana musa alichagua kurudi na “ndugu” zake kaanani badala ya kubaki Misri alikozaliwa na kukulia.. Hali za sasa ni tofauti warundi ama wakongo wakikimbilia Kigoma baada ya miaka sabini hakuna tena mkimbizi utawakuta sinza wamevaa kipapaa na ni wabongo kamili…Musa hakuwa mkimbizi pale. Jina lake ni la kimisri, alizaliwa Misri, katika ukoo waliowahi kuishi kule karne .
Ukijisomea kidogo tu katika historia na ukosoaji wa dini, utawakuta wale wanaosema eti Musa aliendeleza kwa namna fulani ujumbe wa Farao Ekhnaton.... (yaani imani ya mungu mmoja)
Ninachokumbuka ni kwamba, Ukatoliki ndio dini ya Magufuli na Makonda kama sikosei...sasa sijui kama watamwita huyu papa beberu la Chadema!Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua.
source: MailOnline
Kwamba Mashoga ni wana wa Mungu.
Mungu huyu aloumba Me na Ke??
Heri wenye utambuzi wa kiroho...ufalme wa Mungu ni wao.Soon nitalikimbia kanisa
I'm pure muslim....hatufanyagi huo ujingaSasa kwa nini mnaenda kufuta dhambi kwa papa inamaana yeye si Mungu wa pili au[emoji23] akitoka Mungu Yesu si papa anafuata
Kwanza kuna mambo mengi yalishanichanganya ndani ya hili kanisa langu,ambayo naona hayapatani na Biblia kwa ujumla wake. Sasa hili ndo funga kazi kwa utata wote, niko mbioni kuachana na hili dhehebu langu.
Inasikitisha sana ila basi tu.
Mkuu.. mzee wangu ni Mkatoliki.
Ila vijana wake wote tumeamua kua wasabato .
Kilamoja alipoamua kusoma biblia aligundua yakwake.
Embu fikiria, ikiwa nihabari yakweli, alafu huyu nikiongozi mkuu wa kanisa , maana yake sasa hata zile maneno za mapadre kulawiti n.k sasa zimepata majibu..... Nikwamba sasa kanisa limeamua kuwapa nafasi wafiraji na wasagaji ,limeamua kutoa kiburi cha watu kuendelea hili sasa.
Roma ikisema maana yake Dunia inahitaj kutekeleza.
Unadhan miaka 10 ijayo tutakua na Dunia ya Aina gan???.
Kufirana na kusagana itakua nijambo lakawaida tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi utakuwa bado hujalijua Kanisa.Soon nitalikimbia kanisa
Soma maandikoSasa kwa nini mnaenda kufuta dhambi kwa papa inamaana yeye si Mungu wa pili au[emoji23] akitoka Mungu Yesu si papa anafuata
Ondoka haraka,utuachie Kanisa letu.Soon nitalikimbia kanisa
Unaruhusiwa kusilimu,sio lazima uwe Mkristu.Aisee Dunia imeisha heri mara mia ya waislamu
Wakristo sijui tumerogwa na Nani?