Papa John Paul II ndio Papa aliyekuwa na mvuto kwa miaka ya karibuni

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Mwaka 1990 au 91 sikumbuki vizuri,Papa Joh Paul II alitembelea nchini.

Nimesahu mwaka maana walipishana mwaka mmoja na ujio wa Nelson Mandela.

Zilitungwanyimbo nyingi sana kuhusu ziara yakenamapokezi yakehayakuwa namfano,
Ziara ilifanasana kuanzia Dar mpaka Mwanza Kawekamo,mliokuwepo mnakumbuka vizuri

Siku alipokufa dunia ilizizima

Hawa wengine hata hawakuwa na mvuto enzi za uhai wao na vifo vyao havijagusa hisia za watu.

John Paul II alikuwa Pope kweli kweli
 
Nadhani alipokelewa na mwinyi uwanja wa ndege
 
Yeah!...Papa John II alikuwa na mvuto mzuri, huenda sababu ya uzoefu wa kiongozi kwa kanisa kwa majira yale, kumbuka alikuwa kiongozi wa kanisa katoliki toka Dunia ikiwa kwenye kilele cha vita baridi kipindi kile mpaka kumalizika kwake na kuanguka kwa ucommunisti huku yeye mwenyewe akiwa ametokea Poland (nchi mashirika wa zamani wa Ussr kabla ya anguko la USSR)
 
Nadhani Pope John Paul || aliweza kuwagusa watu wengi duniani kwa sababu alichaguliwa kuwa Pope akiwa bado kijana,hivyo aliweza kusafiri duniani kupeleka Injili kwa sababu alikuwa na nishati ya kutosha,kule kuchaguliwa kwake akiwa na miaka 58, ilkkuwa zawadi kubwa kwa Kanisa. Waliofuata baada yake wamechaguliwa huku umri ukiwa 78.
 
Point,kanisa ingeliangalia hilo
 
Yeah!...Papa John II alikuwa na mvuto mzuri, huenda sababu ya uzoefu wa kiongozi kwa kanisa kwa majira yale, kumbuka alikuwa kiongozi wa kanisa katoliki toka Dunia ikiwa kwenye kilele cha vita baridi kipindi kile mpaka kumalizika kwake na kuanguka kwa ucommunisti huku yeye mwenyewe akiwa ametokea Poland (nchi mashirika wa zamani wa Ussr kabla ya anguko la USSR)
Na ishu yakupigwa risasi ilimfanya apate synpath
 
Mwaka 1990 au 91 sikumbuki vizuri,Papa Joh Paul II alitembelea nchini.

Nimesahu mwaka maana walipishana mwaka mmoja na ujio wa Nelson Mandela.

Zilitungwanyimbo nyingi sana kuhusu ziara yakenamapokezi yakehayakuwa namfano,
Ziara ilifanasana kuanzia Dar mpaka Mwanza Kawekamo,mliokuwepo mnakumbuka vizuri

Siku alipokufa dunia ilizizima

Hawa wengine hata hawakuwa na mvuto enzi za uhai wao na vifo vyao havijagusa hisia za watu.

John Paul II alikuwa Pope kweli kweli
Nakubaliana na wewe kinamna fulani. Enzi zake kulikukwa limit of accessing information. Tukio kubwa lililombeba ni tukio la kushambuliwa kwa risasi na mpalestina. Kumbuka alikuwa mpolandi. Francis alikuwa karibu na watu wa chini kiliwakera wazungu.
 
Nyakati hizi teknolojia imekuwa kwa kiasi kikubwa sana pamoja na ujinga kupungua, inayopelekea kuwaona watu maarufu kama watu wakawaida tu.

Leo hii, ata tajiri namba moja duniani akipita hapo njiani, utamuona kama mtu wa kawaida tu.

Zamani teknolojia ilikuwa iko chini, na ujinga ulikuwepo mkubwa pia.​
 
Back
Top Bottom