Anhaa sawa, labda ni kwasababu kila taifa watu wametingwa na mambo yaoKugusa hisia,ina maana watu ni kama hawajahuzunika sana kama ilivyokuwa kwa Pope John Paul,
Yeah!...Papa John II alikuwa na mvuto mzuri, huenda sababu ya uzoefu wa kiongozi kwa kanisa kwa majira yale, kumbuka alikuwa kiongozi wa kanisa katoliki toka Dunia ikiwa kwenye kilele cha vita baridi kipindi kile mpaka kumalizika kwake na kuanguka kwa ucommunisti huku yeye mwenyewe akiwa ametokea Poland (nchi mashirika wa zamani wa Ussr kabla ya anguko la USSR)Mwaka 1990 au 91 sikumbuki vizuri,Papa Joh Paul II alitembelea nchini.
Nimesahu mwaka maana walipishana mwaka mmoja na ujio wa Nelson Mandela.
Zilitungwanyimbo nyingi sana kuhusu ziara yakenamapokezi yakehayakuwa namfano,
Ziara ilifanasana kuanzia Dar mpaka Mwanza Kawekamo,mliokuwepo mnakumbuka vizuri
Siku alipokufa dunia ilizizima
Hawa wengine hata hawakuwa na mvuto enzi za uhai wao na vifo vyao havijagusa hisia za watu.
John Paul II alikuwa Pope kweli kweli
Point,kanisa ingeliangalia hiloNadhani Pope John Paul || aliweza kuwagusa watu wengi duniani kwa sababu alichaguliwa kuwa Pope akiwa bado kijana,hivyo aliweza kusafiri duniani kupeleka Injili kwa sababu alikuwa na nishati ya kutosha,kule kuchaguliwa kwake akiwa na miaka 58, ilkkuwa zawadi kubwa kwa Kanisa. Waliofuata baada yake wamechaguliwa huku umri ukiwa 78.
Na ishu yakupigwa risasi ilimfanya apate synpathYeah!...Papa John II alikuwa na mvuto mzuri, huenda sababu ya uzoefu wa kiongozi kwa kanisa kwa majira yale, kumbuka alikuwa kiongozi wa kanisa katoliki toka Dunia ikiwa kwenye kilele cha vita baridi kipindi kile mpaka kumalizika kwake na kuanguka kwa ucommunisti huku yeye mwenyewe akiwa ametokea Poland (nchi mashirika wa zamani wa Ussr kabla ya anguko la USSR)
Watu wanasaka manoti. Wewe unaleta habari za mvuto. Babu yako wakati anakufa mlipata mvuto?Anhaa sawa, labda ni kwasababu kila taifa watu wametingwa na mambo yao
hapa TZ hali ngumu kusaka maokoto, watu wako busy na Lissu, Simba Yanga watapata wapi mda wa kumliliaWatu wanasaka manoti. Wewe unaleta habari za mvuto. Babu yako wakati anakufa mlipata mvuto?
Nakubaliana na wewe kinamna fulani. Enzi zake kulikukwa limit of accessing information. Tukio kubwa lililombeba ni tukio la kushambuliwa kwa risasi na mpalestina. Kumbuka alikuwa mpolandi. Francis alikuwa karibu na watu wa chini kiliwakera wazungu.Mwaka 1990 au 91 sikumbuki vizuri,Papa Joh Paul II alitembelea nchini.
Nimesahu mwaka maana walipishana mwaka mmoja na ujio wa Nelson Mandela.
Zilitungwanyimbo nyingi sana kuhusu ziara yakenamapokezi yakehayakuwa namfano,
Ziara ilifanasana kuanzia Dar mpaka Mwanza Kawekamo,mliokuwepo mnakumbuka vizuri
Siku alipokufa dunia ilizizima
Hawa wengine hata hawakuwa na mvuto enzi za uhai wao na vifo vyao havijagusa hisia za watu.
John Paul II alikuwa Pope kweli kweli