Papa Leo ataka kukomeshwa kwa Vita Haiti

Papa Leo ataka kukomeshwa kwa Vita Haiti

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Papa Leo, Jumapili, aliwaalika waamini waliokusanyika katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kuomba amani na kutoa wito wa kuachiwa kwa mateka pamoja na kusitishwa kwa hali inayozidi kuwa ya kukatisha tamaa nchini Haiti. Papa pia alikaribisha makubaliano ya amani yaliyosainiwa Jumamosi kati ya viongozi wa Armenia na Azerbaijan

1754896499844.png

Kwa mujibu wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, kuanzia Oktoba 2024 hadi mwisho wa Juni 2025 zaidi ya watu 1,000 wameuawa, zaidi ya 200 kujeruhiwa na 620 kutekwa nyara katika maeneo ya Artibonite, Central na jirani. Aidha, zaidi ya watu 239,000 wamelazimika kuyahama makazi yao, na mnamo Aprili mwishoni, makumi ya watu walilazimika kuvuka mto mkubwa zaidi nchini humo kwa kuogelea ili kukimbia mashambulizi ya magenge

====

Pope Leo on Sunday invited the faithful, gathered in St. Peter's Square, to pray for peace and appealed for the release of hostages and an end to the "increasingly desperate" situation in Haiti.

Speaking from the window of his study overlooking the square, the pontiff also welcomed the peace deal between Armenia and Azerbaijan, signed by the countries leaders on Saturday.

Haiti’s government announced Saturday that it is implementing a three-month state of emergency in the country’s central region as gang violence surges.

The region — known as Haiti’s rice basket — has been under attack in recent years with gangs killing farmers or forcing them to abandon their fields as they raze nearby communities

The United Nations’ human rights office noted that from October 2024 to the end of June 2025, more than 1,000 people have been killed, more than 200 injured and 620 kidnapped in the Artibonite and Central departments and nearby areas. Gang violence also has displaced more than 239,000 people in Haiti’s central region, according to the U.N

In late April, dozens of people waded and swam across the country’s largest river in a desperate attempt to flee gangs

Source: African news & Vatican News
 
Hao Mashoga wanasaini mikataba yenye maslahi kwao tu,******* milk gaza washadedi watu kibao lakini Machoko wako kimya tu.
 
Back
Top Bottom