Papa kazingua
Iran anafadhili makundi ya magaidi, udikteta na mauaji
laZima adhibitiwe
Iran anafunga vipi lango la Hormuz na aamue nani apite au asipite
Namheshimu mno Papa Kwa cheo chake na Mimi ni mkatoliki, nimesoma seminary ila Kwa kauli yake ya kutetea Iran sikuifirahia hapa namuunga mkono Babu TrumpKauli ya Papa ni Kauli ya MUNGU,
Wewe unashindanaje na balozi (Vicar of GOD) mkuu wa MUNGU hapa duniani ???
Halafu nasikia Vatican wanatawala dunia, huyu Donald Trump wamemuweka wao wenyewe!
Mpwimbe , let the caged bird sings , Otorong'ong'o
Namheshimu mno Papa Kwa cheo chake na Mimi ni mkatoliki, nimesoma seminary ila Kwa kauli yake ya kutetea Iran sikuifirahia hapa namuunga mkono Babu Trump
Makundi ya kigaidi ndio yana fadhiliwa na CIA,kuanzia Al Qaeda,ISIS,Taliban wote wapo kwenye Payroll ya CIA.Huu ugaidi ni koti linaloficha wizi wa mafuta na ubabe wa Myahudi wa kumega ardhi za watu. Hayo makundi yote muanzilishi ni US.Papa kazingua
Iran anafadhili makundi ya magaidi, udikteta na mauaji
laZima adhibitiwe
Iran anafunga vipi lango la Hormuz na aamue nani apite au asipite
Mungu sio PapaUnataka kubishana na kauli ya MUNGU sasa ???
1. Wewe na papa nani anaufahamu zaidi Ukristo?Namheshimu mno Papa Kwa cheo chake na Mimi ni mkatoliki, nimesoma seminary ila Kwa kauli yake ya kutetea Iran sikuifirahia hapa namuunga mkono Babu Trump
Hapo katetea iran au kahimiza amani?!..Namheshimu mno Papa Kwa cheo chake na Mimi ni mkatoliki, nimesoma seminary ila Kwa kauli yake ya kutetea Iran sikuifirahia hapa namuunga mkono Babu Trump
Kumbe we nae ni fara hiviPapa kazingua
Iran anafadhili makundi ya magaidi, udikteta na mauaji
laZima adhibitiwe
Iran anafunga vipi lango la Hormuz na aamue nani apite au asipite
Leo ndiyo nimejua kwamba jamaa ni fala sanaHapo katetea iran au kahimiza amani?!..
Huko seminary ulienda somea ujinga?!
The stage is gradually set for World Governments through the UN resolution to ban all religions, soma Ufunuo 17; sababu kubwa itawafanya wafanye hivyo ni Dini kuhatarisha AMANI ya Ulimwengu. Inaelekea mambo haya yatatukia katika miaka hii tunapoelekea kuadhimisha 2000th anniversary hapo 2029 tangu messiah atokee. Kwa upande wa Waislamu kule Saudia stage is set already kwani Utawala wa Kifalme wameanza kuvunja vunja ngome za Muslim Brotherhood, Kule Iran Utawala wa Kiayatollah ndiyo huo unatokomezwa, Uingereza King Charles na Mwanae Prince William ( Head of State and Head of the Church of England)wamezingua kiasi kwamba Waingereza wanasema Monarchy iwe abolished. Aliyebaki alikuwa Pope wa Catholic Church tu, ambaye ndiyo huyo ameingia kwenye 18 za TrumpView attachment 3571964View attachment 3571961
Papa Leo XIV amezungumza haya leo, Aprili 13, 2026 kwenye denge, wakati wa Safari yake ya kuelekea Algeria, ikiwa ya kwanza Barani Afrika. Hii ni kwa mujibu wa Tovuti ya Catholic News Agency.
Kauli hii inakuja muda mchache baada ya Donald Trump kudai Papa Leo XIV ni dhaifu, hapendezwi na uongozi wake kwakuwa si mfuasi wa MAGA, na kwamba amekuwa anapingana na sera zake.
Undani wa kauli ya Trump unaweza kuupata hapa >>> Trump: Papa Leo XIV ni dhaifu, simshabikii
"Nadhani watu wanaosoma wataweza kufikia hitimisho lao wenyewe: mimi si mwanasiasa, sina nia ya kuingia kwenye mdahalo naye. Badala yake, hebu daima tutafute amani na kukomesha vita. Siogopi utawala wa Trump.
Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa. Sidhani kama ujumbe wa Injili unapaswa kutumiwa vibaya jinsi baadhi ya watu wanavyofanya.
Nitaendelea kupaza sauti dhidi ya vita, kujaribu kukuza amani, na mazungumzo ya pande nyingi kati ya mataifa ili kutafuta suluhisho sahihi la matatizo. Ujumbe wa Kanisa ni ujumbe wa Injili, heri wapatanishi; sioni jukumu langu kama mwanasiasa, sitaki kuingia kwenye mdahalo naye. Watu wengi sana wanateseka duniani."
Unakubaliana na papa kuikosoa serikali ya marekani, ila huku ndani hukubaliani na kitima kuikosoa serikali. AjabuKwenye hili naungana na Papa.
Nimetokea kumkubali sana aiseeπHuyu ndo Papa sasa. Papa haogopi kusema koleo kwa jina lake. π
UNO YUPO WAPI KAMA ANASIFA HIZO? HALAFU WEWE BODI YA MIKOPO IMEKUPA PESA ZA KUSOMA? AU NDIO WAHITIMU WA ST MARIA?Papa kazingua
Iran anafadhili makundi ya magaidi, udikteta na mauaji
laZima adhibitiwe
Iran anafunga vipi lango la Hormuz na aamue nani apite au asipite
Mimi sipo hapa kutetea dini1. Wewe na papa nani anaufahamu zaidi Ukristo?
2. Unamuunga mkono Trump ili aendelee kuua watu wasio na hatia?
3. Unaushaidi wa hata mwaka mmoja ambapo Iran iliwahi kuanzisha vita mahali?
4. Kama USA na Israel zinamiliki Nyuklia kwanini Iran hapaswi kumiliki?
UN ni taasisi mfu Kwa SasaUNO YUPO WAPI KAMA ANASIFA HIZO? HALAFU WEWE BODI YA MIKOPO IMEKUPA PESA ZA KUSOMA? AU NDIO WAHITIMU WA ST MARIA?
Marekani ifadhili makundi ya kigaidi ya kiislam.!!πππMakundi ya kigaidi ndio yana fadhiliwa na CIA,kuanzia Al Qaeda,ISIS,Taliban wote wapo kwenye Payroll ya CIA.Huu ugaidi ni koti linaloficha wizi wa mafuta na ubabe wa Myahudi wa kumega ardhi za watu. Hayo makundi yote muanzilishi ni US.
Iran analinda ardhi yake na maslahi ya nchi yake, huo Hurmoz ni mlango ulio chini yake so swala la kuamua ni swala lake kwani Iran ni nchi huru na ina maamuzi yake ambayo anayafanya kwa maslahi yake,kwa ajili ya taifa lake.