Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

UN ni taasisi mfu Kwa Sasa
laZima US atoke kudhibiti hao wafadhili ugaidi kama ISIS, al Qaeda na Al shabab.
Unajua Iran kauwa watu wangapi Kwa kufadhili magaidi?
laZima ugaidi ukome Dunia iwe sehemu Salama
Mkiristo wewe una elimu gani? Halafu kwa akili hizi mnataka mtoe Lissu gerezani?
 
Hapo katetea iran au kahimiza amani?!..
Huko seminary ulienda somea ujinga?!
Iran hawezi kuzuia njia kibabe kuamua nani apite nani asipite
Iran hawezi kuachwa akafadhili makundi ya magaidi
Iran hawezi kuachwa akiongoza Taifa Kwa udikteta Ayatollah kakaa madarakani miaka 43
Iran amekuwa watu wengi mno kupitia makundi yake ya magaidi anayoyafadhili
Wacha Babu Trump awashike Kalio
 
Mimi sipo hapa kutetea dini
Kuna mataifa mengi ya kiislam wapo vizuri sio hao Iran wehunna magaidi laZima wadhibitiwe
Iran ndo mfadhili wa makundi ya magaidi kama ISIS, al Qaeda, alshabab, Boko Haram n. K
laZima wahuni kama Iran wadhibitiwe na kaka mkuu wa Dunia ili wasilete madhara

View: https://m.youtube.com/watch?v=DLQc2dYikyU&pp=ygUbVVMgcGF5IHRhbGJhbiBhbmQgQWwgUWFlZGEg

View: https://m.youtube.com/watch?v=Z51MTI9sbFY&t=32s&pp=ygUfU2VjcmV0IG9wZXJhdGlvbiBvZiBVUyBpbiBZZW1lbg%3D%3D
Mbona mnapenda kudanganywa.
 
Kauli ya Papa ni Kauli ya MUNGU,
Wewe unashindanaje na balozi (Vicar of GOD) mkuu wa MUNGU hapa duniani ???
Halafu nasikia Vatican wanatawala dunia, huyu Donald Trump wamemuweka wao wenyewe!

Mpwimbe , let the caged bird sings , Otorong'ong'o , Da'Vinci
​
Sijajua kwanini umeni-tag hapa, maana sioni kitu cha maana.

Trump hana tofauti na CCM wakikosolewa wanasema wametukanwa.

Jambo la msingi UOVU ni uovu hata afanye nani, na Papa kausema bila kujali.

Suala la makundi ya kigaidi kufadhiliwa na Iran, sijajua makundi gani hayo.

Maana Hamas siyo kundi la kigaidi.

Hakuna Gaidi dunia hii kama Israel na Marekani.
 
Unakubaliana na papa kuikosoa serikali ya marekani, ila huku ndani hukubaliani na kitima kuikosoa serikali. Ajabu
Unaelewa unachokiongea? Umeelewa comment yangu? Umewahi kuniona mimi kwenye hayo mabishano yenu ya kisiasa huko?

Unaweza kuleta hapa huo ushahidi wa mimi kutokubaliana na huyo sijui kitima kwenye jambo lolote lile? Au umenifananisha?

Pia elewa kwamba,naungana na Papa kwenye issue ya kutaka amani,

Maelezo ya Papa yana point nyingi ndani yake,na kubwa linalonifanya niungane nae ni kutetea amani,

Jaribu kua makini zaidi unaposoma comment zangu na kuzielewa kwanza.
 
Iran ndo mfadhili wa makundi ya magaidi kama ISIS, al Qaeda, alshabab, Boko Haram n. K
😯😯🤪 Umeenda chaka. Umeongea hivyo sababu una chuki binafsi dhidi ya Iran.
laZima wahuni kama Iran wadhibitiwe na kaka mkuu wa Dunia ili wasilete madhara
Marekani ikidhibitiwa ndiyo itakuwa mwanzo wa paradiso Mpya. Hakutakuwa na fujo tena hapa duniani.
 
The stage is gradually set for World Governments through the UN resolution to ban all religions, soma Ufunuo 17; sababu kubwa itawafanya wafanye hivyo ni Dini kuhatarisha AMANI ya Ulimwengu. Inaelekea mambo haya yatatukia katika miaka hii tunapoelekea kuadhimisha 2000th anniversary hapo 2029 tangu messiah atokee. Kwa upande wa Waislamu kule Saudia stage is set already kwani Utawala wa Kifalme wameanza kuvunja vunja ngome za Muslim Brotherhood, Kule Iran Utawala wa Kiayatollah ndiyo huo unatokomezwa, Uingereza King Charles na Mwanae Prince William ( Head of State and Head of the Church of England)wamezingua kiasi kwamba Waingereza wanasema Monarchy iwe abolished. Aliyebaki alikuwa Pope wa Catholic Church tu, ambaye ndiyo huyo ameingia kwenye 18 za Trump
Umeshaanza ule ujinga wenu
 
Kauli ya Papa ni Kauli ya MUNGU,
Wewe unashindanaje na balozi (Vicar of GOD) mkuu wa MUNGU hapa duniani ???
Halafu nasikia Vatican wanatawala dunia, huyu Donald Trump wamemuweka wao wenyewe!

Mpwimbe , let the caged bird sings , Otorong'ong'o , Da'Vinci
​
Reply chafu ya mwaka
Yesu alipoondoka duniani alisema atakuja msaidizi wa binadamu ambaye ni kiungo kati ya MUNGU na binadamu.. naye ni ROHO MTAKATIFU (soma yohana 14 kama ilivyo utaelewa)

onyesha katika maandiko ni wapi pameandikwa kuwa papa ni vicar of GOD.
 
Unaelewa unachokiongea? Umeelewa comment yangu? Umewahi kuniona mimi kwenye hayo mabishano yenu ya kisiasa huko?

Unaweza kuleta hapa huo ushahidi wa mimi kutokubaliana na huyo sijui kitima kwenye jambo lolote lile? Au umenifananisha?

Pia elewa kwamba,naungana na Papa kwenye issue ya kutaka amani,

Maelezo ya Papa yana point nyingi ndani yake,na kubwa linalonifanya niungane nae ni kutetea amani,

Jaribu kua makini zaidi unaposoma comment zangu na kuzielewa kwanza.
Ni mara nyingi sana umeshiriki kwenye hii mijadala, ni mara nyingi zisizo na idadi. Lakini sishangai ukitaka kukataa maana uongo upo ndani ya DNA
Hapa tu uliamini kuwa hao kina kitima/TEC wanapinga mkataba dp world sababu ya chuki zao
Screenshot_20260413-143034_1.jpg
 
The stage is gradually set for World Governments through the UN resolution to ban all religions, soma Ufunuo 17; sababu kubwa itawafanya wafanye hivyo ni Dini kuhatarisha AMANI ya Ulimwengu. Inaelekea mambo haya yatatukia katika miaka hii tunapoelekea kuadhimisha 2000th anniversary hapo 2029 tangu messiah atokee. Kwa upande wa Waislamu kule Saudia stage is set already kwani Utawala wa Kifalme wameanza kuvunja vunja ngome za Muslim Brotherhood, Kule Iran Utawala wa Kiayatollah ndiyo huo unatokomezwa, Uingereza King Charles na Mwanae Prince William ( Head of State and Head of the Church of England)wamezingua kiasi kwamba Waingereza wanasema Monarchy iwe abolished. Aliyebaki alikuwa Pope wa Catholic Church tu, ambaye ndiyo huyo ameingia kwenye 18 za Trump
Papa ni mkubwa kuzidi marekani USA romani imechangia mapinduzi Mengi duniani ikiwepo vita ya pili
 
Ni mara nyingi sana umeshiriki kwenye hii mijadala, ni mara nyingi zisizo na idadi. Lakini sishangai ukitaka kukataa maana uongo upo ndani ya DNA
Hapa tu uliamini kuwa hao kina kitima/TEC wanapinga mkataba dp world sababu ya chuki zao
View attachment 3571992
Hivi unajielewa kweli? Ni kipi kimepingwa hapo? Kusema kabla ya DPW hakukua na malalamiko? Yani umepoteza muda wako ukijiaminisha kua eti hiyo ndio evidence yako?

Papa ni kiongozi wa kidini ila kwa vile kaongelea issue ya amani ndio maana nimemuunga mkono,

Halafu wewe pimbi usiniambie mimi uongo upo kwenye DNA nilikuahidi kukuoa kisha nikakupotezea mpaka uniite muongo?
 
Kitu nilichokua nina uhakika nacho ni lazima utatukana. Muda wote jazba huwa ipo juu. Nakupa pole
 
Papa kazingua
Iran anafadhili makundi ya magaidi, udikteta na mauaji
laZima adhibitiwe
Iran anafunga vipi lango la Hormuz na aamue nani apite au asipite
Knight of Malta ndio waasisi wa FBI na CIA na mashrika ya ujasusi yenye herufi tatu.

Chini ya Mashirika hayo ndiyo chanzo cha kutokutulia kwa dunia hadi sasa

Wanajua wanachokifanya.
 
Namheshimu mno Papa Kwa cheo chake na Mimi ni mkatoliki, nimesoma seminary ila Kwa kauli yake ya kutetea Iran sikuifirahia hapa namuunga mkono Babu Trump
Papa katetea Irani ? Ingekuwa andiko limekuja kwa kiingereza tu ningesema labda hujui lugha
 
Marekani ifadhili makundi ya kigaidi ya kiislam.!!😛😛😛
Upo gizani sana,mbona Hilo limeshasemwa na watu wazito huko marekani na juzi aliyekua mtu wa ngazi ya juu moja ya chombo cha ukachero marekani kasema ISIS ni yao,acha kuangalia mahubiri ya akina mwamposa kutwa,fuatilia na geopolitics
 
Back
Top Bottom