Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

ISIS, al Qaeda, Boko Haram, al shabab wanaofadhiliwa na Iran wameuwa watu wangapi?
Iran wametumia resources nyingi kufanya Islamic expansion inayogharimu maisha ya watu
Hizi stori tunza utasimulia wajukuu zako kama watakuwa vichwa boga kama wewe.

Marekani na Israel hapigani vita ya kidini
 
Wanafiki hawawezi kuelewa hili, wamelishwa propaganda wamesahau USA hiyo hiyo imefadhili makundi ya kigaidi Syria kumpindua Al Assad ikiwemo ISIS, HTS, SDF, Al nussra.

nje ya mada kidogo, aliye-fund is iliyoanzisha vita na uasi syria na kuleta mateso makubwa kwa wananchi wa syria alikuwa ni messiah Obama, hata aliye-attack libya na kumuua Gadafi alikuwa mwanademokrasia Obama pia, siyo D.Trump, aliyeibomoa nchi ya libya kutoka success story to dirty poor and ungovernable leo hii alikuwa ni Obama na siyo Trump, utawala wa Obama uliua na kutesa more muslims wengi klk utawala wa sasa hivi, just for the record ...
 
Hii fundisho umelitoa wapi.

Unaelewa muktadha wa matumizi ya statement VICAR OF GOD ?.

Pia naomba kujua kama unauelewa wa hata kidogo wa lugha ya kilatini. (Sababu ndio lugha ya kanisa katoliki)
Vicar.png
Vicar 2.png

I'm a lawyer! Of course I have studied latin words and how to use them.

The word Vicar has a root in ancient Roman Law meaning "Agency"

That's why in the Law of Contract we have things like Vicarious Liability with rooting from the word Vicar. The notion of Vicarious Liability as rooted in the Mos Maiorum means that actions of the agent/servant/representative are imputed to the Master.

In this case now, the Vicar is the Representative of Heaven, being precise GOD himself. According to the Catholic Doctrine since the Middle-Ages, the words and works of the Pope are words and Works of the GOD.

Comprende ??????
​
 
View attachment 3572403View attachment 3572404

Sijataka kujua watu wengine wameandika na kueleza nini kuhusu VICAR OF GOD. Nimekuuliza hilo fundisho umelitoa wapi kwenye vyanzo vya mafundisho ya kanisa katoliki ?.

Vyanzo vya mafundisho ya kanisa katoliki vinajulikana.
 
Papa kaongea vizuri sana
sisi tunaojua mamlaka ya Papa tumemwelewa vizuri sana:
Bila D mbili utaambulia patupu:
Leo yuko Algeria anaswali msikitini
 
Papa kaongea vizuri sana
sisi tunaojua mamlaka ya Papa tumemwelewa vizuri sana:
Bila D mbili utaambulia patupu:
Leo yuko Algeria anaswali msikitini
Hivi yule ndugu yako Gavana yuko wapi siku hizi ?

Alikuwa anapenda sana kutishia kuchinja watu...
​
 
Kwani ukatoliki wa kweli unapimwa kwa uzalendo wa nchi au kwa misingi ya ulimwengu mzima anayohubiri Papa?
 
Makundi ya kigaidi ndio yana fadhiliwa na CIA,kuanzia Al Qaeda,ISIS,Taliban wote wapo kwenye Payroll ya CIA.Huu ugaidi ni koti linaloficha wizi wa mafuta na ubabe wa Myahudi wa kumega ardhi za watu. Hayo makundi yote muanzilishi ni US.

Iran analinda ardhi yake na maslahi ya nchi yake, huo Hurmoz ni mlango ulio chini yake so swala la kuamua ni swala lake kwani Iran ni nchi huru na ina maamuzi yake ambayo anayafanya kwa maslahi yake,kwa ajili ya taifa lake.
Iran na US WOTE wanafadhili ugaidi
 
Back
Top Bottom