Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

Papa Leo: Siogopi utawala wa Trump. Nazungumzia Injili, mimi si mwanasiasa

Makundi ya kigaidi ndio yana fadhiliwa na CIA,kuanzia Al Qaeda,ISIS,Taliban wote wapo kwenye Payroll ya CIA.Huu ugaidi ni koti linaloficha wizi wa mafuta na ubabe wa Myahudi wa kumega ardhi za watu. Hayo makundi yote muanzilishi ni US.

Iran analinda ardhi yake na maslahi ya nchi yake, huo Hurmoz ni mlango ulio chini yake so swala la kuamua ni swala lake kwani Iran ni nchi huru na ina maamuzi yake ambayo anayafanya kwa maslahi yake,kwa ajili ya taifa lake.
Wanafiki hawawezi kuelewa hili, wamelishwa propaganda wamesahau USA hiyo hiyo imefadhili makundi ya kigaidi Syria kumpindua Al Assad ikiwemo ISIS, HTS, SDF, Al nussra.
 
The stage is gradually set for World Governments through the UN resolution to ban all religions, soma Ufunuo 17; sababu kubwa itawafanya wafanye hivyo ni Dini kuhatarisha AMANI ya Ulimwengu. Inaelekea mambo haya yatatukia katika miaka hii tunapoelekea kuadhimisha 2000th anniversary hapo 2029 tangu messiah atokee. Kwa upande wa Waislamu kule Saudia stage is set already kwani Utawala wa Kifalme wameanza kuvunja vunja ngome za Muslim Brotherhood, Kule Iran Utawala wa Kiayatollah ndiyo huo unatokomezwa, Uingereza King Charles na Mwanae Prince William ( Head of State and Head of the Church of England)wamezingua kiasi kwamba Waingereza wanasema Monarchy iwe abolished. Aliyebaki alikuwa Pope wa Catholic Church tu, ambaye ndiyo huyo ameingia kwenye 18 za Trump
Bila shaka wewe msabato
 
Acha propaganda Israel pia anafadhili magaidi. Unamuona huyo Rais wa Syria Al Sharaa anatokea kikundi cha kigaidi HTS inayofuangamana na Al Nussra front na Al qaeda ila kilipewa silaha na fedha na Israel ili kupigana na Al Assad. Hiyo sio kufadhili ugaidi.

Israel pia inafadhili PKK ya uturuki, SDF ya syria na YPG ya Iraq hao wamekua listed kama magaidi na CIA!! Ila kwa sababu Israel inawa support mpo kimya ila ingekua Iran mngepiga kelele kuwa ni wafadhili ugaidi.
No way lazima mfadhili wa magaidi Iran apigwe na achakazwe
 
Straight of Hormuz ipo kati ya Iran na Oman kijiogrofia
Hii ndo route muhimu ya kupitisha 20% ya mafuta kwenda kote duniani kutoka nchi za Ghuba
International laws zimeweka freedom ya njia zote za baharini kuwa free kupita

Iran kuzuia, kutoza Kodi na kuamua nani apite nani asipite ni ukorofi na ugaidi wake aliouzoea
Hizo sheria za kimataifa umezijua baada ya Iran kufunga mlango wa horumuz ila hizo sheria hujazijua kwa marekani kuishambulua Iran?
Au sheria za kimataifa zinaruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine kwa nasilahi yake?
 
Ni wazi kuwa dunia ya ubinadamu inajitenga na isiyo ya kibinadamu...
Na ndivyo kizazi cha historia kiltakavvyoelekea ...kwa kuwa kitaisoma historia...kisha kitafanya judgement kwa msingi wa nature ya kimaumbile ya ubinadamu....
Washabiki wa kambi dhulma ni kifuniko cha macho kinachopumbaza tu..kwa muda
 
Jibu swali kumfadhili Al Sharaa kupitia kundi lake la Al qaeda na HTS huko Syria sio kufadhili ugaidi?
Unatafuta Chaka la kujificha
Nishakwambia gaidi kama Ayatollah na serikali yake ilifika mwisho wa kuvumiliwa.
Leo hao magaidi wanafunga njia muhimu ya bahari halafu eti kaka mkuu wa Dunia amtazame tu
 
Hizo sheria za kimataifa umezijua baada ya Iran kufunga mlango wa horumuz ila hizo sheria hujazijua kwa marekani kuishambulua Iran?
Au sheria za kimataifa zinaruhusu nchi moja kuivamia nchi nyingine kwa nasilahi yake?
Ugaidi wa Ayatollah ulifika mwisho wa kuvumiliwa
laZima tumpongeze Marekani Kwa kuitoa hilo dictator na liuaji
Leo wamefunga Hormuz na hii wiki haitaisha mtakuja kuwatilia huruma hao magaidi
 
Bila shaka wewe msabato
Hata hiyo Sabato iko in line kwenye dini zitakazopigwa marufuku. Just imagine vile ambavyo Wasabato huwa wanapingana na mipango ya maendeleo ya serikali! Na wao pia ni kikwazo. Waislamu ndiyo duu usiseme wakifuatiwa na wakatoliki. Kule India unakuta Dini ya Hinduism pia ni tatizo kwa Amani. Ila sasa Sheria ambavyo huwa zinatungwa kunakuwa hakuna exemption.
 
Unatafuta Chaka la kujificha
Nishakwambia gaidi kama Ayatollah na serikali yake ilifika mwisho wa kuvumiliwa.
Leo hao magaidi wanafunga njia muhimu ya bahari halafu eti kaka mkuu wa Dunia amtazame tu
Jibu swali Israel kufadhili haya makundi sio UGAIDI?
1. RSF ya Sudan
2. YPG ya Iraq
3. PKK ya uturuki
4. HTS ya Syria
5. SDF ya Syria
6. ISIS ya Syria
7. ISIL ya Iraq
8. Al Nussra Front/Al Qaeda syria
9. PRC/SRC ya Yemen.

hamis77 Imeloa Echolima1
 
Haya sasa mwehu kaposti hii kwenye mtandao wake kumjibu papa 😂😂😂

1776101176903.png
 
Ugaidi wa Ayatollah ulifika mwisho wa kuvumiliwa
laZima tumpongeze Marekani Kwa kuitoa hilo dictator na liuaji
Leo wamefunga Hormuz na hii wiki haitaisha mtakuja kuwatilia huruma hao magaidi
Dictator? Hivi hizo nchi za gulf kama Saudi Arabia au Oman hazina madikteta? Mbona yanakandamiza haki za binadamu hawasemi kitu? Zinduka bwana mdogo Acha propaganda za kitoto
 
Dictator? Hivi hizo nchi za gulf kama Saudi Arabia au Oman hazina madikteta? Mbona yanakandamiza haki za binadamu hawasemi kitu? Zinduka bwana mdogo Acha propaganda za kitoto
Iran amesumbua Dunia
Kufadhili wake Kwa magaidi lilikuwa suala la muda kulipia tu
Iran hana threat yoyote Kwa USA
USA anajitoa kusaidia Dunia Kwa kuwaliza madikteta, magaidi, na wahuni wa Iran
Iran imefadhili uhuni wa ugaidi ati wanafanya Islamic expansionism

Hivi Toka lini Dunia yote watu wawe waislam pekee?

Week hii haipiti laZima head boy Trump afanye jambo pale Iran na hatutaki makelele
 
ISIS, al Qaeda, Boko Haram, al shabab wanaofadhiliwa na Iran wameuwa watu wangapi?
Iran wametumia resources nyingi kufanya Islamic expansion inayogharimu maisha ya watu
Mzee Church ( Cerci/ Kirk ) ndio kikundi namba moja cha uhalifu kuwahi kutokea.
Tafuta maandiko kuhusu Super jesuit ( Black robe / Pope ) angalia historia ya mabenk yalivyoanza hadi kuja kuhusishwa na vita moja kwa moja.
Hizi dini zote jau kabisa.
 

Attachments

  • Church Economic wars.mp4
    2.3 MB
Wewe siyo Mkatoliki.
Wakatoliki wana utiii wa kipofu kwa viongozi wao.
Hata viongozi wakifanya jambo la ajabu-ajabu wao huwa hawaoni.
​
Nakukubali sana kwa mambo mengine. Ila kwenye kanisa katoliki naona unapotea tuu. Kubali hulijui kanisa katoliki huko utaharibu tuu.
 
Kauli ya Papa ni Kauli ya MUNGU,​
Hii fundisho umelitoa wapi.

Unaelewa muktadha wa matumizi ya statement VICAR OF GOD ?.

Pia naomba kujua kama unauelewa wa hata kidogo wa lugha ya kilatini. (Sababu ndio lugha ya kanisa katoliki)
 
Nakubaliana na wewe katika mambo mengi lakini vita duniani haiwezi kuisha binaadamu ni wabinafsi sana hawawezi kuishi bila vita kitakacho tokea ni kupungua Kwa vita na sio kuisha kabisa
Hizo Ni tabiri zangu. Na naamini itakuja kuwa hivyo.

kama wee Ni mkristo, kuna kifungu nimekinukuu kutoka bible, kinasema:

"3 Na mataifa mengi watakwenda na kusema, Njoni, twende juu mlimani kwa Bwana, nyumbani kwa Mungu wa Yakobo, naye atatufundisha njia zake, nasi tutakwenda katika mapito yake maana katika Sayuni itatoka sheria, na neno la Bwana katika Yerusalemu.
[I]Isaya 2:3[/I]

[I]4 Naye atafanya hukumu katika mataifa mengi, atawakemea watu wa kabila nyingi; nao watafua panga zao ziwe majembe, na mikuki yao iwe miundu; taifa halitainua upanga juu ya taifa lingine, wala hawatajifunza vita tena kamwe. [/I]

[I]Isaya 2:4[/I][I]"[/I]
​
 
Wale wanaowasilimisha watu kwa mapanga na risasi watakuwa wameenda wapi?
Marekani ndiye mfadhili wao. Umesahahu ya Al-shababu na Boko haramu ambapo kuna WAmarekani na bahadhi ya watu wa ulaya walikuwemo katika makundi hayo. Kwa hiyo, si kila makundi ya watenda maovu basi ni completely waislam. Kuna bahadhi wasio waislam lakini wamejiunga katika makundi hayo.
Jikumbushe hapa


"One of them came from one of the developed countries in the world. … If he is spreading Islam, why did he not do that in the U.K.?" Kamay asked. "He came to Somalia to shed blood."

Kamay described the Malaysian as an "aggressor" who came to Somalia to "destroy."

Al-Shabab has several hundred foreign fighters from around the world, experts believe. Most of the foreign extremists are from East Africa, but some are from as far away as Britain, the United States and Asia. One of the group's main.
 
Back
Top Bottom