Kindred Spirit
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 457
- 666
Anaweza kuwa Papa wa kwanza kutembelea zaidi ukanda wa Afrika kabla hajawa Papa. Papa ameishi Nigeria, pia ametembea Congo DRC na Kenya.
Kwa mujibu wa Catholic News Agency, Papa ameshafika Tanzania zaidi ya mara tano na kufanya kazi maeneo mbalimbali katika nyakati hizo ikiwemo Morogoro na Songea:
10 countries Pope Leo XIV visited before becoming pope
NB: IG akaunti yake (pontifex) ni the fastest growing kwa sasa akiwa amefikisha followers milioni 12, inaelekea kufika 13.