Anaweza kuwa Papa wa kwanza kutembelea zaidi ukanda wa Afrika kabla hajawa Papa. Papa ameishi Nigeria, pia ametembea Congo DRC na Kenya.
Kwa mujibu wa Catholic News Agency, Papa ameshafika Tanzania zaidi ya mara tano na kufanya kazi maeneo mbalimbali katika nyakati hizo ikiwemo Morogoro na Songea: