I trust but I like to know more...Trust me bro
Wanaompenda Lissu wapo hai, wamelala au wamekufa? Mbona anaonewa na kufanyiwa ukatili?Anayependwa zaidi bongo ni Lissu
Ukimuonesha Trump hizi ratings atakuambia zimekuwa falsified for political reasons, especially kwa sababu kazidiwa mpaka na Biden!