Papa Leo XIV aongoza kuwa mtu anayependwa zaidi Marekani

Papaa Yoda Leo umeamkia Marekani anayependwa zaidi na anayechukiwa zaidi. Baadae utuletee takwimu za hapa Bongo kwa kiongozi wa kisiasa anayependwa na kuchukiwa zaidi.
 
Ukimuonesha Trump hizi ratings atakuambia zimekuwa falsified for political reasons, especially kwa sababu kazidiwa mpaka na Biden!
Trump amechukiwa zaidi baada ya kushindwa kuachalia Epstein client list.
 
Amekuja kukamilisha agenda ya kuiteka Gaza. Yuko kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kama haoni vile udhalimu unaoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…