Papa Leo XIV apigilia msumari, asema hakuna AMANI bila HAKI

Papa Leo XIV apigilia msumari, asema hakuna AMANI bila HAKI

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
"Ninawasihi Wakuu wa Nchi na viongozi wa mataifa kusikiliza kilio cha maskini zaidi. Hakuna amani bila haki. Maskini hutukumbusha hili kwa njia nyingi, kupitia uhamiaji na kupitia kilio chao, ambacho mara nyingi hufichwa na dhana ya ustawi na maendeleo, ambayo hayamshirikishi kila mtu." - Papa Leo XIV
Screenshot_20251116_175054_X.jpg
 
Papa tunaomba utoe tamko 1 na shinikizo kali kwa ICC ili wawachukulie hatua za kisheria wahusika wa mauaji ya tar 29/10.

Hakuna kupoa.
 
Papa Leo XIV(Robert Francis Prevost) ametoa wito kwa viongozi wa mataifa duniani kuheshimu maskini na malalamiko waliyonayo huku akisisitiza hakuna amani bila haki.

Kupitia mtandao wa X jana Novemba 16, 2025 Papa huyo aliweka chapisho likisema "Nawasihi Marais na viongozi wa mataifa kuusikiliza ukelele wa maskini.Hakuna amani bila haki."

Ameeleza kuwa mara kadhaa kilio cha maskini kumekuwa kikinyamazishwa na watawala kupitia kile alichokiita 'dhana ya ustawi na maendeleo yasiyowajumuisha wote.'

"Maskini wanatukumbusha jambo hili kwa namna mbalimbali, kupitia uhamiaji pamoja na kilio chao, ambacho mara nyingi hunyamazishwa na dhana ya ustawi na maendeleo yasiyowajumuisha wote." ameandika Papa Leo XIV

Screenshot 2025-11-17 092800.png
 
1763364058141.png


Aione yule ndugu yetu ktk imani anayesema Amani ndio huleta Haki....na sio Haki ndio huleta Amani......
 
... we don't want croc tears no more!

for the tears you are shedding are but croc tears!

this thing has been going on for as long as since we got our independence and no word was uttered save for when the Babylon monster got, but a bit, scratched!

Time to pin the tail on the Monster hiding behind our tears, and so take it from me and BURN IT DOWN!
JUST BURN THIS NATION DOWN TO ASHES!
AWAY WITH THREATS FROM A BUNCH OF CRACKPOTS SHEDDING CROC TEARS!


1763286281446.jpeg
 
"Ninawasihi Wakuu wa Nchi na viongozi wa mataifa kusikiliza kilio cha maskini zaidi. Hakuna amani bila haki. Maskini hutukumbusha hili kwa njia nyingi, kupitia uhamiaji na kupitia kilio chao, ambacho mara nyingi hufichwa na dhana ya ustawi na maendeleo, ambayo hayamshirikishi kila mtu." - Papa Leo XIV
View attachment 3502834
1763364765315.png

1763364820841.png
 
Back
Top Bottom