Papa tunaomba utoe tamko 1 na shinikizo kali kwa ICC ili wawachukulie hatua za kisheria wahusika wa mauaji ya tar 29/10.
Hakuna kupoa.
"Ninawasihi Wakuu wa Nchi na viongozi wa mataifa kusikiliza kilio cha maskini zaidi. Hakuna amani bila haki. Maskini hutukumbusha hili kwa njia nyingi, kupitia uhamiaji na kupitia kilio chao, ambacho mara nyingi hufichwa na dhana ya ustawi na maendeleo, ambayo hayamshirikishi kila mtu." - Papa Leo XIV
View attachment 3502834
View attachment 3503074
Aione yule ndugu yetu ktk imani anayesema Amani ndio huleta Haki....na sio Haki ndio huleta Amani......