Papa Leo Xiv aruhusiwa kutoka hospitali

Papa Leo Xiv aruhusiwa kutoka hospitali

Strong ladg

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
1,357
Reaction score
3,114
Ikiwa zimepita siku nne toka afanyiwe upasuaji wa kuondoa sehemu ya pafu lake kutokana na ugonjwa wa saratani, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ameruhusiwa kutoka hospital ya Gemelli alipokuwa akipatiwa matibabu.

Vipimo vya damu pamoja na X-ray vilithibitisha kuwa Papa Leo XIV anaweza kuruhusiwa kutoka hospitalini.
Kwa sasa Papa Leo XIV tayari amekwisha kurejea Vatican.

NB: Ingekuwa Tanzania hata majibu ya uvimbe ili kujua kama ana saratani au lah yangekuwa bado hayajatoka.

Soma Pia: Pope Leo XIV agunduliwa kuwa na cancer ya pafu

Chanzo: Vatican News.
 
Huyo mtu kapata matibabu ya kibingwa sana kazi kwetu wenzangu na mimi.
 
Back
Top Bottom