Papa Leo XIV ndani ya msikiti: Uhusihano wa Uislamu na Roman Catholic

Papa Leo XIV ndani ya msikiti: Uhusihano wa Uislamu na Roman Catholic

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,678
Reaction score
27,653
Papa Leo XIV akiwa Algeria:

"Ushirika kati ya Wakatoliki na Waislamu unachukua sura chini ya ulinzi wa Mama Yetu wa Afrika. Hapa, nchini Algeria, upendo wa kimama wa Lalla Meryem (bikra Maria) unawakusanya wote kama watoto, ndani ya utofauti wetu mkubwa, katika tamanio letu la pamoja la heshima, upendo, haki, na amani.

Katika ulimwengu ambamo migawanyiko na vita hupanda maumivu na kifo, kuishi katika umoja na amani ni ishara yenye nguvu."

Papa kama ilivyo desturi ya mapapa, ameingia ndani ya Djamaa el Djazair (Msikiti Mkuu wa Algiers), ambao ni msikiti wa tatu kwa ukubwa duniani na una mnara (minaret) mrefu kuliko yote duniani na kufanya maombi pamoja na Masheikh wa kislamu.

Ishara ya Heshima

Papa Leo XIV alivua viatu vyake kabla ya kuingia kwenye eneo la kusalia (Prayer Hall), ishara ambayo imepokelewa kwa hisia chanya sana na ulimwengu wa Kiislamu. Alikaribishwa na Imam Mkuu wa msikiti huo na Waziri wa Masuala ya Kidini wa Algeria.

FB_IMG_1775986349751.jpg
 
Waislamu kila upepo madamu unavuma dhidi ya Marekani wanapaa nao. Sasa hivi wapo na Papa Leo IVX. Huwaambii kitu kwa mahaba haya mapya. Naambiwa (ga) kwamba mama ya Uislamu ni Vatican mnabisha.

Nadhani mnaanza kunielewa. Kumbuka Padre Bahira na padre Waraqa ndio walimbashiria Muhamad utume. Hivyo sio rahisi Papa akamtosa mwanawe. Ndio maana Trump kamwambia kama wewe ni mtu kweli wa Mungu, ungekemea pande.

Sisi tunaelewa kwamba Vatican ina mpango wa kuunda dini mseto, na sasa wanatumia fursa hii ya machafuko kudidimiza secularism na kuinua utopia ya kidini.

Sasa Leo yupo Algeria akiingia na kutoka katika msikiti mkubwa wa tatu duniani akilakiwa na Masheikh.

Jiulize kwanini Masheikh wanamkaribisha Papa msikitini na wakimpa heshima kubwa sana! Jiulize kwanini?
 
Wachambuzi wa Tanzania wengi ni wanafiki. Waliongoza kampeni za kupinga Kanisa katoliki kuingilia siasa nchini Tanzania. Sasa hivi wapo bize kumsapoti Papa Leo IVX na Kanisa Katoliki kuingilia siasa za Marekani. Kanisa Katoliki na siasa ni mapacha, cheo cha papa kinapigiwa mizinga 21 pale anapoenda katika ziara katika nchi husika. Hivyo Trump kumkosoa Leo hajamkosoa kama askofu bali kama Mwanasiasa.
 
Juhudi za kulidhoofisha kanisa katoliki (mfumo kristo) Tanzania zitafanikiwa kweli??? au wahusika waachane na hio biashara kichaaaa ?
RESILIENT KATO
ChoiceVariable
 
Ndio maana moderator wameweka option ya "ignore" wapiga ramli chonganishi kama huyu kafiri hamis77 wanastahili kupewa ignore.
Tuepuke watu wa aina hii na nyuzi zao najisi.
Faken
 
UISLAMU NI MTOTO WA KAMBO WA ROMAN CATHOLIC
FB_IMG_1776157988878.jpg
 
Ndio maana moderator wameweka option ya "ignore" wapiga ramli chonganishi kama huyu kafiri hamis77 wanastahili kupewa ignore.
Tuepuke watu wa aina hii na nyuzi zao najisi.
Faken
Acha ujinga wewe

Utapata wapi elimu hii adimu ?

Uislamu ulianzishwa na kanisa Roma kupitia Waraq padre na ,Sista Khadija

Uislamu ni mtoto wa kambo wa Roman Catholic
FB_IMG_1776157985376.jpg
 
Urafiki wa mashaka
🤣🤣 Ila Roma na uislamu ukiangalia kama ni urafiki wa mashaka ,ila kihalisia

Roma kuna muda Huwa anatembelea misikiti kuangalia Hali ya watoto wake ikoje
 
🤣🤣 Ila Roma na uislamu ukiangalia kama ni urafiki wa mashaka ,ila kihalisia

Roma kuna muda Huwa anatembelea misikiti kuangalia Hali ya watoto wake ikoje
Waislam wakibaki wenyewe hawamkubali kabisa. Ila kwavile Roma ni Mbabe ndio maana anawatembelea na wanampa ulinzi wa kufa mtu. Ole wao Pope ashambuliwe afe kwenye nchi zao, hicho kichapo chake! hawataamini macho yao. Hata vikundi vya kiislam vya msimamo mkali vinaambiwaga vikaushe kwanza apite, wasitafute msala.
 
Kama tunamwabudu Mungu wa kweli, hatustahili kuwa na uhasama. Sijui kwa nini watu wengine huchukia wakiona watu wenye imani tofauti wanapendana!
Kwa mkristo, Yesu amesisitiza UPENDO ndiyo msingi mkuu wa imani.
 
Waislam wakibaki wenyewe hawamkubali kabisa. Ila kwavile Roma ni Mbabe ndio maana anawatembelea na wanampa ulinzi wa kufa mtu. Ole wao Pope ashambuliwe afe kwenye nchi zao, hicho kichapo chake! hawataamini macho yao. Hata vikundi vya kiislam vya msimamo mkali vinaambiwaga vikaushe kwanza apite, wasitafute msala.

Wakristo hawapo hivyo.
Mehmet Ali Agca, muislam wa Uturuki alimshambulia Papa John Paulo wa 2 kwa risasi, lakini hakuna kiongozi yeyote aliyetangaza uhasama dhidi ya waislam. Na papa akaomba Serikali ya Italy imwachie Mehmet. Serikali ikakataa. Mehmet akiwa gerezani, Papa alienda kumwona Mehmet na kuongea naye. Akaendelea kuomba aachiwe. Mwishowe aliachiwa.

Rais wa Misri alimwandikia barua Papa na wakatoliki wote akiomba msamaha kwa kutaka kumwua Papa. Katika ufafanuzi wake akasema kuwa kwa sababu Mehmet ni muislam, basi waislam wamethubutu kutaka kumwua Papa, na hivyo yeye anaomba kwa niaba ya wote. Mehmet mwenyewe akihojiwa, alisema alitaka kumwua Papa siyo kwa sababu ya dini yake bali aliona kuwa katika maisha yake yote, hawezi kufahamika, ila akimwua Papa, Dunia nzima itamfahamu.
Ujumbe:
Ukristo siyo dini ya kisasi, bali dini ya msamaha na upendo.
 
At least hata muuaji katoa sababu ya kutaka kumuua Pope kua ni zake mwenyewe. Hakuna kikundi chochote cha radicals wanaweza fanya hiyo kitu wakachukuliwa poa. Kwanza nchi anayodhuru wanakua makini kupitiliza
 
Back
Top Bottom