Juhudi za kulidhoofisha kanisa katoliki (mfumo kristo) Tanzania zitafanikiwa kweli??? au wahusika waachane na hio biashara kichaaaa ?Wachambuzi wa Tanzania wengi ni wanafiki. Waliongoza kampeni za kupinga Kanisa katoliki kuingilia siasa nchini Tanzania. Sasa hivi wapo bize kumsapoti Papa Leo IVX na Kanisa Katoliki kuingilia siasa za Marekani. Kanisa Katoliki na siasa ni mapacha, cheo cha papa kinapigiwa mizinga 21 pale anapoenda katika ziara katika nchi husika. Hivyo Trump kumkosoa Leo hajamkosoa kama askofu bali kama Mwanasiasa.
Nishawaambia humu Jf sana tu, waachane na ndoto hizoJuhudi za kulidhoofisha kanisa katoliki (mfumo kristo) Tanzania zitafanikiwa kweli??? au wahusika waachane na hio biashara kichaaaa ?
RESILIENT KATO
ChoiceVariable
Acha ujinga weweNdio maana moderator wameweka option ya "ignore" wapiga ramli chonganishi kama huyu kafiri hamis77 wanastahili kupewa ignore.
Tuepuke watu wa aina hii na nyuzi zao najisi.
Faken
Hii ilim unayotoa italeta ugomviAcha ujinga wewe
Utapata wapi elimu hii adimu ?
Uislamu ulianzishwa na kanisa Roma kupitia Waraq padre na ,Sista Khadija
Uislamu ni mtoto wa kambo wa Roman Catholic View attachment 3572481
Waislam wakibaki wenyewe hawamkubali kabisa. Ila kwavile Roma ni Mbabe ndio maana anawatembelea na wanampa ulinzi wa kufa mtu. Ole wao Pope ashambuliwe afe kwenye nchi zao, hicho kichapo chake! hawataamini macho yao. Hata vikundi vya kiislam vya msimamo mkali vinaambiwaga vikaushe kwanza apite, wasitafute msala.🤣🤣 Ila Roma na uislamu ukiangalia kama ni urafiki wa mashaka ,ila kihalisia
Roma kuna muda Huwa anatembelea misikiti kuangalia Hali ya watoto wake ikoje
Waislam wakibaki wenyewe hawamkubali kabisa. Ila kwavile Roma ni Mbabe ndio maana anawatembelea na wanampa ulinzi wa kufa mtu. Ole wao Pope ashambuliwe afe kwenye nchi zao, hicho kichapo chake! hawataamini macho yao. Hata vikundi vya kiislam vya msimamo mkali vinaambiwaga vikaushe kwanza apite, wasitafute msala.
At least hata muuaji katoa sababu ya kutaka kumuua Pope kua ni zake mwenyewe. Hakuna kikundi chochote cha radicals wanaweza fanya hiyo kitu wakachukuliwa poa. Kwanza nchi anayodhuru wanakua makini kupitilizaWakristo hawapo hivyo.
Mehmet Ali Agca, muislam wa Uturuki alimshambulia Papa John Paulo wa 2 kwa risasi, lakini hakuna kiongozi yeyote aliyetangaza uhasama dhidi ya waislam. Na papa akaomba Serikali ya Italy imwachie Mehmet. Serikali ikakataa. Mehmet akiwa gerezani, Papa alienda kumwona Mehmet na kuongea naye. Akaendelea kuomba aachiwe. Mwishowe aliachiwa.
Rais wa Misri alimwandikia barua Papa na wakatoliki wote akiomba msamaha kwa kutaka kumwua Papa. Katika ufafanuzi wake akasema kuwa kwa sababu Mehmet ni muislam, basi waislam wamethubutu kutaka kumwua Papa, na hivyo yeye anaomba kwa niaba ya wote. Mehmet mwenyewe akihojiwa, alisema alitaka kumwua Papa siyo kwa sababu ya dini yake bali aliona kuwa katika maisha yake yote, hawezi kufahamika, ila akimwua Papa, Dunia nzima itamfahamu.
Ujumbe:
Ukristo siyo dini ya kisasi, bali dini ya msamaha na upendo.