Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

Ray 4

Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
55
Reaction score
29
Huyu Papa Msofe nilikuwa namsikia sana na kumjua kama mfanyabiashara maarufu sana. Leo Nimeona kwenye gazeti la The African eti Papa Msofe ambaye jina lake kamili wanasema ni MARIJANI MSOFE ni tapeli ambaye anatumia Polisi kunyanganya Ardhi!! Nani anayejua kuhusu huyu jamaa atupe ukweli. Nimeweka hili gazeti kwa ambaye hajaliona.
 

may be both
 
Papaaa Msofe,mutu ya pakee,hivi sirikali si inafahamu mambozake anazofanya tena za hatari na wazi mbona inampotezea km haioni? au kuna kamishen ? teheteheee this country bana!!!!!! hata hayo makokein na na mapowder ya kila aina wadau wakuu wanajulikana,ukiskia mdau amedakwa jua amekosea masharti, hivi mateja yakibanwa si yanaelekeza yanapopata mapowder!!!!!
 
Mie simfahamu lakini nimesikia story zake long time sasa. Ni mshirika mzuri sana wa mapolisi na vigogo wa serikali hii. Commission at work.
 
Ndugu huyu ni zaidi ya muuaji kukumaliza tena akupitia police wa defender na kesho kuandikwa jambazi maarufu lilikuwa likijibizana na police kitu cha kawaida..anyway m najua utapeli wake kwenye madini amewaliza wengi sana akishirikiana na kundi moja lipo kariakoo likiongozwa na akina fred....ni wahuni na mbaya zaidi wamemweka mkononi kuanzi mwema,kova,nzowa na washenzi wpte wa polis unaowajua....hata yule mama aliekamatwa majuzi nikupe kisa cha kusikitisha alikuwa analindwa na defenders 5 yrs sijajua kilichofanya kukamatwa anajua nzowa na wahuni wenzake lakini ukweli ile nyumba huku mbezi beach kila ,tu alikuwa anaijua na ukienda police wanakuweka ndan baada ya kumpigia huyo mama anakwenda anagawa chochote unaenda kujibu kesi ya kubaka,,hili ndio jeshi letu bandugu...ni rafiki mkubwa wa papa msofe so utajua ni nani??ama gigs??
 
Achane Majungu.......kwani ukijua kama alikuwa tapeli au alikuwa mwezi itakusaidia nini? Acheni mtima nyongo...nyie sio police wala nini.............majungu tu.........hapa kwenye huu mtandao anatakiwa great thinkers weeee toka kafanye kazi nyingine
 

nachofaham_jamaa anafanya biashara ya kokoto, mchanga na kifusi pale kunduch na ameanza kama dalali lakn alipata kubwa akanunua lori na kwa kwel ni mchapakaz_sasa kafungua ofis na kaongeza malori, anapenda sana misifa hasa kupaishwa kwny muziki. Ni opportunist wa maana
 
Si Msofe unasema Nteze wa nteze wewe
 
mi nilidhani ni mshirika wa ngwasuma tu? muzee ya pesa mingi,mutu ya watu,manake wakianza kumpamba utadhani wengine hatujachangia! kumbe an extra-curricular kibao,dah
<font color="blue">Mie simfahamu lakini nimesikia story zake long time sasa. Ni mshirika mzuri sana wa mapolisi na vigogo wa serikali hii. Commission at work.</font>
 
Nawapa true story jinsi walivyo mliza rafiki yangu wa karibu toka arabuni. Rafiki alikuja nchini na akataka kununua dhahabu. Akaenda kwa sonara pale k'koo, sonara akampa contact za hussein na Msofe. Akawapigia simu wakamuomba aonane nao kndoni- vijana(mimi hakunishirikisha). Akiwa vijana nilimpigia simu nikashangazwa na yeye kuwa eneo lile kwa ni simuendaji wa baa na hapendi kwenda sehemu zenye kelele. Punde nika mfuata nika kuta anagana na Msofe + rafiki yake. Kumbe walikuwa wamemaliza mazungumzo ya biashara na walikuwa wamekubaliana kuwa watamuuzia dhahabu kilo 20. Alikaribishwa ofisini kwao na kuoneshwa dhahabu yenyewe na akashuriwa achukue kidogo akahakiki kwa sonara, alifanyahivyo. Baada ya kuhakiki alilipa na wao walikubali kulipa mrahaba wa mamlaka ya madini(30%). Sanduku lifungwa kwa kufuri aliyonunua huyo mnunuzi na kuwekewa seal ya stamico. Wauzaji walimshauri aliache sanduku aje alichukue wakati wa kwenda aeroport- alikubali. Siku ya safari alikuja kuchukua sanduku lake, alipofika walimuomba ajiridhishe kuwa sanduku lake ni lenyewe- alihakiki: MCHEZO ULIPOFANYIKA: wakati anataka kutoka husein alimuanzishia story juu ya future cooperation na wakati huo akaita walinzi wabebe sanduku(sanduku likabadilishwa). Mteja (1afiki yangu) akaondoka. Alipofika arabuni alikuta kwenye sanduku kuna vipande vya nondo. Aliwapigia simu kuuliza kulikono- wakawa wakali kuwa wao ni watu safi wanaoheshimika na washika dini kwa hiyo hawawezi kufanya mchezo huo.
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa
 
Yeye pamoja na wafuatao chini ni matapeli wakubwa wa dhahabu na shaba feki toka Congo
Abdul Mteketa(sasa mbunge wa kilombero)
Papaa Mabeba
Ndama mtoto wa Ng'ombe
Mkenya Mmmoja akiitwa Mathias Mattako
Muzamil Katunzi
Chacha Mapessa

hivi qualification ya kuwa Papaa ni nini ....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…