Huyu Papa Msofe nilikuwa namsikia sana na kumjua kama mfanyabiashara maarufu sana. Leo Nimeona kwenye gazeti la The African eti Papa Msofe ambaye jina lake kamili wanasema ni MARIJANI MSOFE ni tapeli ambaye anatumia Polisi kunyanganya Ardhi!! Nani anayejua kuhusu huyu jamaa atupe ukweli. Nimeweka hili gazeti kwa ambaye hajaliona.