Papa Msofe ni mfanyabiashara au tapeli Maarufu?

Agreed.. utapeli ni akili
 
Reactions: Qwy
Usiamini kila stori humu
 
Aisee awamu hiyo kulikua na mambo haswa.
 
Sema kweli??
 
Tapeli ,lililokubuhu lililonyea Debe gerezani miaka kadhaa. Hivi Yuko wapi tapeli huyu na Yule Alex Massawe?
 
Kama hujui mambo ya town yaache kama yalivyo, Msofe ni hustler yeah lakini kwenye sembe hayupo na wala hajawahi kuwepo.
Ukisikia alivuta Wazungu au Wachina akawaingiza chaka akavuna milioni kadhaa za dollars labda ila si kwenye sembe.
Nipo mjini tangu 1955 my frnd.
 
Mkuu, ina maana babaake Mange alikua zungu? Au Kimambi mwingine?
 
Nipo mjini tangu 1955 my frnd.
Kuna kuwa town upo upo tu hata kama ulipata ufahamu kibao cha welcome to Mzizima kikiwa Faya na kuna kuwa town ukiwa katikati ya connections yaani 'issues' zote za town zilipo upo.
 
Kuna kuwa town upo upo tu hata kama ulipata ufahamu kibao cha welcome to Mzizima kikiwa Faya na kuna kuwa town ukiwa katikati ya connections yaani 'issues' zote za town zilipo upo.
Waulize wanaonifahamu.. vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…