Mashibe matius
Member
- Apr 10, 2021
- 47
- 42
Huna hojaAcha wivu
Ya wakatoliki waachie wakatoliki.Nawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?
Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?
Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Kwani wewe unaelewaje neno ""mtakatifu"' hata mitume pia wao waliitana watakatifuNawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?
Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?
Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Kuna Kanisa 'Takatifu' Moja tu Katoliki la Mitume Duniani ambalo humo Kuna Watakatifu sio mmoja ni Wengi Wanapatikana.WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu"
Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana baba yao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
ya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Usimwite MTU baba DUNIAN... lakini KILA ASUBUHI unamwita baba anayekupa ugali...acha kupotosha maandikoWAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu"
Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana baba yao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
ya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Endelea kuwazaNawaza utakatifu anapewaje kiongozi kibinadamu tu?
Je, kuna ushahidi wa maandiko unaoonesha kuwa Papa anakuwa mtakatifu automatically?
Na Kama Roho mtakatifu anaongea na watu wake kipi wafundishe why wampangie cha kufundisha dunia nzima?
Tukumbushane, kanisa halimpi mtu kibali cha kwenda mbinguni.Kuna Kanisa 'Takatifu' Moja tu Katoliki la Mitume Duniani ambalo humo Kuna Watakatifu sio mmoja ni Wengi Wanapatikana.
Sasa huko mliko kama mna Uhakika hakuna Watakatifu basi ni wakati Sasa Wa Kukata shauri Rudini
Katika KANISA MOJA TAKATIFU LA MITUME!!
Kwa hiyo wewe Babaako unamuita Baby ?WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu"
Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana baba yao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
ya hii ya 9, Mungu kakataa kuwa na ubia ktk jina lake la mamlaka linalobeba wadhifa wake. Kumwita mtu baba Mtakatifu na kiongozi mkuu wa dini ni KUFURU.
Mwenye masikio na asikie ambayo roho awaambia Wakatoliki
Mathayo 23:9 Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni. 10. Wala msiitwe viongozi; maana kiongozi wenu ni mmoja, naye ndiye Kristo.
Wapi kuna papa hapo ndugu.Papa Francis sio mtakatifu na wala sio kila papa ni mtakatifu ndio maana kuna mapapa wachache ambao tunawaita watakatifu. Sababu ni kwamba Cheo cha Upapa ndio Cheo kitakatifu kwa kuRefer maneno ya Yesu mwenyewe alipomteua Peter kua papa wa kwanza Mathayo 16:18
[18]Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa (Roman Catholic)langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda.